Best Nasso na mashabiki wake wa vijijini

Kipindi flani niliwahi kwenda mahenge (ulanga) ,,, nilikaaa pale almost two weeks,,,, kuna siku weekend mwenyeji wangu akaniambia twende viwanja,,,,

Kuna ukumbi flan (dancing hall) unamilikiwa na halmashauri( jina UDEKO) kama sijakosea,,,,,

Aloo mziki unapigwa tu watu wanacheza ovyo ovyo na vinywaji vinauzwa humo, humo, joto mtindommoja,,, !!!

Kuna msanii(bongo fleva) kutoka ifakara alialikwa kutumbuiza sikumbuki jina ,,watu walijaa sana hata nafs ya kupita,,,acha walobaki nje ni wengi sana ,,, ,,,

Ni kweli huko Bush kuna wasaniiii wanakubalika sana, wanajaza kumbi kinoma, !!!!
 
Mnamkumbuka Best Nasso?

Hakika huyu jamaa hauwezi msikia sana mijini lakini ingia bush huko na kokoroni kwa wavuvi jamaa ana hit sana.

Natumaini mimi sie pekee yake ambae nimegundua hilo. Unakutaga majamaa au madenti wa mashambani wakiwa simu zao za memory card na zile redio ndogo wanagonga ngoma za best nasso.

Nimeshuhudia sana vijiji vya huku kanda ya ziwa.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tukusaidieje?
 
Haswaa hata misondo bush ndio imempa jina

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mnamkumbuka Best Nasso?

Hakika huyu jamaa hauwezi msikia sana mijini lakini ingia bush huko na kokoroni kwa wavuvi jamaa ana hit sana.

Natumaini mimi sie pekee yake ambae nimegundua hilo. Unakutaga majamaa au madenti wa mashambani wakiwa simu zao za memory card na zile redio ndogo wanagonga ngoma za best nasso.

Nimeshuhudia sana vijiji vya huku kanda ya ziwa.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Braza una dharau sana wewe 😂😂😂😂😂
 
Mamu WA dar ni balaa,jamaa ana niche yake ya uspastar WA vijijini,uyo akiingia bush anakimbiliwa na kuliliwa balaa
 
Kumbe kweli, kuna jamaa mmoja msukuma hana muda toka aje kutoka Shinyanga siku aliyonunua simu tu jambo la kwanza alienda kuweka nyimbo za Best Nasso tu kwenye memory card. Jamaa anasikiliza saa zote.
 
Huyu jamaa yupo sasa hivi?

Nyimbo zake mpaka leo bado nasikiliza jamaa alikuwa storyteller mzuri sana na maudhui ya kufundisha sana.

Sema ndo hivyo kwa sasa waimba pumba na matusi ndo wanapewa airtime na promo za kutosha.
Yupo anapiga show sana migodini kanda ya ziwa, pia kuna maduara anamiliki tuseme yuko vizuri.
 
Mnamkumbuka Best Nasso?

Hakika huyu jamaa hauwezi msikia sana mijini lakini ingia bush huko na kokoroni kwa wavuvi jamaa ana hit sana.

Natumaini mimi sie pekee yake ambae nimegundua hilo. Unakutaga majamaa au madenti wa mashambani wakiwa simu zao za memory card na zile redio ndogo wanagonga ngoma za best nasso.

Nimeshuhudia sana vijiji vya huku kanda ya ziwa.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Dj aro arungu kampaisha sana mwamba kwenye media za dar toka anaanza mziki ila wapi kaishia huko bush na umaarufu wake
 
Back
Top Bottom