Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ri mke ra afande marwa huyo shauri yako akikugecha.Mimi namchagua no 6, tabasamu zuri.
Mkuu hii sio haki, mleta uzi amesema kuchagua na sio kukataaHuyo wa 3 kwa kweli hapaanaaa!!😂
Huyo chaupepo LAZIMA nije nimpe shuleView attachment 2929063
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9.
Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
Tulikubaliana tuwatenge mapolisi, sasa tukianza kuchagua hapo si tunasaliti kambi?🤣🤣🤣🤪
Nakazia
Unataka kusema wamejaa UTI sugu au?Polisi ni polisi tu mimi hapana!
Sina cha kuchagua hapo, asante
*AnamnawaPolisi sio waif material, Kuna siku atakwenda patrol usiku wewe uko nyumbani na kichanga huku unarudi kwenye uanachama CHAPUTA wakati yeye huko kwenye patrol amekaa kwenye defender Kuna mtu anamnawa.