Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Picha nzuri sana aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, chagua umpendaye.Mkuu hii sio haki, mleta uzi amesema kuchagua na sio kukataa
Hapana aisee, mimi namba 1 amenimaliza.ASKARI NI ASKARI TU WANASURA GUMU
Huyu wa kwanza mvivu wa mazoezi🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2929063
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
Polisi wa kike ni wazuri tu toka zamani.Mi huwa najiuliza hawa warembo huwa wanawezaje kuhimili mafunzo ya ukakamavu kule chuoni kwao moshi? Unakuta polisi wa kike ni mzuri ana sura nzuri, umbo zuri wakati zamani tulizoea kuona polisi wa kike ana sura mbaya, anatisha lakini wa siku hizi ni wazuri
Ndio maana kuna watu huwa wanafeli mitihani hawafuati maelekezoMkuu hii sio haki, mleta uzi amesema kuchagua na sio kukataa
mimi nawapongeza sana wanawake wote kwa ujumla wao, kwa kuadhimisha siku yao maalumu, jana kwa Amani 🐒View attachment 2929063
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
ukiwaangalia huku makazini miaka baadae wataendelea kukuvuruga,pata nafasi ukutane nao siku wanamaliza mafunzo,wote wanafanana na kaka zao.Mi huwa najiuliza hawa warembo huwa wanawezaje kuhimili mafunzo ya ukakamavu kule chuoni kwao moshi? Unakuta polisi wa kike ni mzuri ana sura nzuri, umbo zuri wakati zamani tulizoea kuona polisi wa kike ana sura mbaya, anatisha lakini wa siku hizi ni wazuri
Na mimi nimewapenda hawa polisi wanawake, they depict a human touch!mimi nawapongeza sana wanawake wote kwa ujumla wao, kwa kuadhimisha siku yao maalumu, jana kwa Amani 🐒
Hawa wako kazini kama wewe ulivyo TRA!Tulikubaliana tuwatenge mapolisi, sasa tukianza kuchagua hapo si tunasaliti kambi?🤣🤣🤣🤪
Hapana ni nyodo zake, na nzipenda kama alivyo.Huyu wa kwanza mvivu wa mazoezi🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2929063
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
Walete walete, Toronto!Kuna mwenzako amefika tabora anaulizia mjini wapi kumbe alipo ndo mjini.
Mpe hii code achague akapunguze mawazo.
Aamin aamin!
Kwa hiyo ww wako ndio namba nne?Nunber 4 ndio wanguuu
je wale polisi waliokuwa nyuma wako flat wamekakamaa, miguu fito sura kama wameonja limau walikuwa wanatoka wapi?Polisi wa kike ni wazuri tu toka zamani.