masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Nafikiri unaongelea polisi wa Kenya!je wale polisi waliokuwa nyuma wako flat wamekakamaa, miguu fito sura kama wameonja limau walikuwa wanatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri unaongelea polisi wa Kenya!je wale polisi waliokuwa nyuma wako flat wamekakamaa, miguu fito sura kama wameonja limau walikuwa wanatoka wapi?
Mkuu East Afica yote Tanzania tuna wanawake wazuri, na kwa kuwatazama tu moyo unafurahi, Rais wetu akiongoza!Huu uzi ni udhalilishaji wa kingono [emoji23]
Wewe, dada kavalia uniform ya polisi, yuko fit na anapendeza, unamdhalilishaje?Huu uzi ni udhalilishaji wa kingono [emoji23]