Best picture Womens Day, safi sana Polisi wanawake: chagua umpendaye!

Mi huwa najiuliza hawa warembo huwa wanawezaje kuhimili mafunzo ya ukakamavu kule chuoni kwao moshi? Unakuta polisi wa kike ni mzuri ana sura nzuri, umbo zuri wakati zamani tulizoea kuona polisi wa kike ana sura mbaya, anatisha lakini wa siku hizi ni wazuri
 
Polisi wa kike ni wazuri tu toka zamani.
 
ukiwaangalia huku makazini miaka baadae wataendelea kukuvuruga,pata nafasi ukutane nao siku wanamaliza mafunzo,wote wanafanana na kaka zao.

mwili wa mtu kunawiri unahitaji miezi kadhaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…