Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

She needs to do her job and be consistent with substance, na tutaangalia mpaka uchaguzi ujao.

Mkuu Nzoka,

Heshima mbele, finally tuko the same page, now you are talking mkuu, tusichotaka ni uongo za uzushi dhidi ya mbunge.
 
Nilikuwa nimekaa nje ya Mjadala huu kwani sikuwa na la kuchangia isipokuwa nitasema yangu machache hapa...

Mkuu Masatu,
Sote tunalifahamu Bunge letu na jinsi linavyofanya kazi Ovyoo na woga wa ajabu, sasa mtu akitokea kufanya wajibu wake kweli hastahili sifa?... Hivi kweli tunaweza sema hata Mwakyembe na kamati yake hawastahili sifa kwa sababu walitimiza wajibu wao kama kamati?....Na inakuwaje tunamsema Hosea hali naye kafanya kazi mbaya chini ya wajibu wake.. where do we draw a line wakuu! ata kama mnapingana na FMES jamani huyu mama mhukumuni yeye na sio kupitia kwa FMES...


Wanabodi wenzangu,
Kinachonishangaza zaidi ni pale watu wanapotumia kusulubiwa kwa Yesu na mfano wa Lowassa yaani inatia kichefuchefu kumlinganisha Yesu na Lowassa ama Lowassa na Yesu... Hata kama ilikuwa joke sidhani kama inaweza pita kooni yaani nashindwa kabisa kuwaelewa Wabongo wanapozidi kumsifia na kumtukuza Lowassa kwa matetezi ya ajabu...Je, hakuna joke nyingine bila kumhusisha Yesu?

Bob,

Hakuna aliekataza mama asisifiwe, lakini huyu mpambe wa mama ana over-do, kama hi ushajaa umefinywa na tume ya bunge na kuna chain ya watu waliosaidia kutufikisha hapa tulipo toka awali huko wakati watu hata hiyo Richmond watu hawaijui JF ikiwa mojawapo.

Cha kushangaza ES for the reasons best known to himself/herself anataka tuamini ni mama and only mama na kishampa na cheo cha "shujaa wa taifa"

Kazi kweli kweli...
 
Mkuu Bob,

You are too big na mijadala ya mabully kama kina masatu, wewe mkuu hawa niachie mimi hawa ninakula nao sahani moja, maana wana ile kasumba kuwa mimi sina akili kwa sababu wewe unazo, mkuu usipoteze muda wako, niachie hawa.

Ushujaa wa Mama Kilango, umakubalika na taifa zima, magazeti ya wiki nzima hii yanajisema yenyewe, na hata wananchi humu JF wamelisema hilo na tunamuombea anedelee na moyo huo huo!

Sina tabia hiyo kabisa mimi naweka hoja kama hoja zangu zina ku bully sorry I cant help...
 
Jamani angalieni nukuu mbalimbali kufuatana na sakata hili ili tuweze kuziweka hapa kama kumbukumbu.

"Nyuki hakumbatiwi"...

Inategemea ni nyuki wa aina gani. Kuna nyuki wadogo ambao hawaumi. Labda undesema siafu au dondola
 
Jamani angalieni nukuu mbalimbali kufuatana na sakata hili ili tuweze kuziweka hapa kama kumbukumbu.

"Nyuki hakumbatiwi"...

Inategemea ni nyuki wa aina gani. Kuna nyuki wadogo ambao hawaumi. Labda undesema siafu au dondola
 
Jamani angalieni nukuu mbalimbali kufuatana na sakata hili ili tuweze kuziweka hapa kama kumbukumbu.

"Nyuki hakumbatiwi"...

Inategemea ni nyuki wa aina gani. Kuna nyuki wadogo ambao hawaumi. Labda undesema siafu au dondola
 
Sina tabia hiyo kabisa mimi naweka hoja kama hoja zangu zina ku bully sorry I cant help...
__________________
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes

Sina tabia hiyo kabisa mimi naweka hoja kama hoja zangu zina ku bully sorry I cant help...

So much kwa hoja na ku-bully, just nonesense mkuu sometimes busara ni pamoja na kukaa kimya, nimekwambia siku nyingi kuwa huna hoja, ila una viroja tu kama hivi hapa juu!
 
1.
Hakuna aliekataza mama asisifiwe, lakini huyu mpambe wa mama ana over-do,

Wakuu Slaa, Mwakyembe, Zitto, na Mama Anna, wamefanya kazi nzito na ni lazima tuwaenzi, na kuwapa moyo waendelee, kumpenda au kutompenda kwako hakubadili kitu chochote mkuu, hoja ya kuwasifia ni nzito kuliko chuki na hasira zako kwa viongozi wako wa taifa, aibu mtu mzima!

2.
kama hi ushajaa umefinywa na tume ya bunge na kuna chain ya watu waliosaidia kutufikisha hapa tulipo toka awali huko wakati watu hata hiyo Richmond watu hawaijui JF ikiwa mojawapo.

JF tunaijua Richimonduli, kabla hata wewe hujaingia hapa forum, na hata picha za kampuni hiyo huko Texas, zilitolewa hapa kwa mara ya kwanza, na media zote za bongo na serikali wakapata toka hapa, labda wewe ndio ulikuwa hujui kuhusu Richimonduli mpaka ulipojiunga hapa JF, sisi tulijua mapema mkuu, wakati hata viongozi wengi wa taifa letu hawajui, kwa hiyo hii sio hoja maaana unaonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri, kwamba kama wewe hujui basi dunia nzima haijui, hiyo ni very low IQ mkuu!

3.
Cha kushangaza ES for the reasons best known to himself/herself anataka tuamini ni mama and only mama na kishampa na cheo cha "shujaa wa taifa"

Hapa cha kushangaza ni wewe kurukia ishu usiyoielewa, MMJ ametoa quote ya mama, kuna waliomtukana, ndio niliokuwa ninawajibu wathibitishe ukweli wa matusi yao, wewe ukarukia comment ya Lunyungu bila hata kuelewa kinachosemwa, ukaishia kuona neno Shujaa wa taifa tu, na you have a problem, ndio uwezo mdogo wa kufikiri huo mkuu, mama Kilango, anaingia kwenye vitabu vya siasa na historia kwa kuweza kumchambua waziri mkuu wa nchi yetu uso kwa uso, na hata kumpelekea kujiuzulu, JF tumetoa dataz za Richmonduli, Mwakyembe amezifanyia kazi, mama kilango amemsulubu nazo lowassa mbele ya taifa, FULL STOP!
 
TzPride

Re: Dr. Mwakyembe on KLH News

Hey, achana na mambo ya Njozi, si wakati wa kuota ndoto huu. Lete shujaa Mwakyembe akate issues za kitaifa sio blah blah za kinjozi. JF is not Njozi type. Period!

Masatu,

Unaona, huwa wanaitwa mashujaaa wa taifa sio kuwarushia matusi tu, na kuwachukia bla sababu!

Ahsante mkuu TZPride, maneno yako mazito sana!
 
Tumtengeneze basi awe raisi atapong'atuka JK.
 
Hapa cha kushangaza ni wewe kurukia ishu usiyoielewa, MMJ ametoa quote ya mama, kuna waliomtukana, ndio niliokuwa ninawajibu wathibitishe ukweli wa matusi yao, wewe ukarukia comment ya Lunyungu bila hata kuelewa kinachosemwa, ukaishia kuona neno Shujaa wa taifa tu, na you have a problem, ndio uwezo mdogo wa kufikiri huo mkuu, mama Kilango, anaingia kwenye vitabu vya siasa na historia kwa kuweza kumchambua waziri mkuu wa nchi yetu uso kwa uso, na hata kumpelekea kujiuzulu, JF tumetoa dataz za Richmonduli, Mwakyembe amezifanyia kazi, mama kilango amemsulubu nazo lowassa mbele ya taifa, FULL STOP!

Wewe ndio usiejua na mwenye kurukia hoja, hakuna aliemtukana "mama" zimetolewa hoja za utendaji wake akiwa katika jimbo, lakini kama kawaida yako ya "kuwa karibu na wakuu" na "dataz" za uhakika ukanza kupayuka na kuweweseka.

Mama Kilango aingie ktk historia ya kisiasa kwa "kumchambua" waziri mkuu! give me a break na Mwakyembe na Selelii?

JF tunaijua Richimonduli, kabla hata wewe hujaingia hapa forum, na hata picha za kampuni hiyo huko Texas, zilitolewa hapa kwa mara ya kwanza, na media zote za bongo na serikali wakapata toka hapa, labda wewe ndio ulikuwa hujui kuhusu Richimonduli mpaka ulipojiunga hapa JF, sisi tulijua mapema mkuu, wakati hata viongozi wengi wa taifa letu hawajui, kwa hiyo hii sio hoja maaana unaonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri, kwamba kama wewe hujui basi dunia nzima haijui, hiyo ni very low IQ mkuu!

Si unaona ulivyo na mtindio... aliesema JF haiijui Richmond nani? umekuwa mvivu wa kufikiri thats fine basi hata kusoma kilichoandikwa nako taabu? Kujiunga kwangu na JF hakuna uhusiano wowote with the matter on the table.

Wakuu Slaa, Mwakyembe, Zitto, na Mama Anna, wamefanya kazi nzito na ni lazima tuwaenzi, na kuwapa moyo waendelee, kumpenda au kutompenda kwako hakubadili kitu chochote mkuu, hoja ya kuwasifia ni nzito kuliko chuki na hasira zako kwa viongozi wako wa taifa, aibu mtu mzima!

Unaweza kumsifia utakavyo "mama yako" ofcourse she is ur mom!

Masatu,

Unaona, huwa wanaitwa mashujaaa wa taifa sio kuwarushia matusi tu, na kuwachukia bla sababu!

Ahsante mkuu TZPride, maneno yako mazito sana!

Mbona wajichanganya sasa "shujaa" wa taifa "Mama" au Mwakyembe?
 
MKUU FMES,
NIMEKUOMBA URUDI HAPA UKIRI KWAMBA UMEIDANGANYA FORUM JUU YA MAMA KILANGO, LAKINI INAONYESHA HUTAKI KUFANYA HIVYO. PLEASE RUDI UTHIBITISHE UONGO WAKO KABLA SIJATAMKA RASMI KUWA UMEDANGANYA FORUM KWA VILE NINA USHAHIDI WA KUTOSHA. SI NIA YANGU KUENDELEA KUELEZA ZAIDI YANAYOMHUSU 'MTEJA' WAKO LAKINI IKILAZIMIKA NITAFANYA HIVYO AND I DON'T WANT TO BE RESPOSIBLE FOR ANY DAMAGE ITAYOTOKEA.
 
Pundamilia07,
Mkuu hatushindani hapa lete hizo habari tutazipokea kwani mama huyu sii exceptional kwa hiyo hizi habari za kuomba mtu aseme kuwa amedanganya haziwezi kuwa na mvuto bila kuelewa ulichonacho wewe...
Mwaga manyanga mkuu, kwani hata Shujaa Mkwawa alikuwa na mapungufu yake!..haiondoi ukweli wa kila anachosimamia at the moment.
 
Mkandara,

mama anne kilango ametoa kauli ya matusi hii hapa chini kwa wapiga kura wake wa jitengeni kihurio:-

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

wanachama kama field marshall es wanajaribu kutufunga midomo eti kwasababu mama kilango ni shujaa wa taifa kwa wakati huu. ati huyu mama amekuwa maarufu mno hivyo wananchi wake hawana haki ya kumhoji kuhusu majukumu yake kama mbunge wao.

kwanini wananchi wa same mashariki haswa jitengeni wamvumilie mbunge anayekwamisha ujenzi wa shule? mama anne kilango anaweka kauzibe wakati serikali imeshaahidi kutoa pesa za ujenzi. mama kilango anapingana na maamuzi ya vikao rasmi. kwanini wananchi wavumilie udikteta wa waziwazi?

field marshall kama unampenda sana mama kilango basi mrithishe jimbo la jumanne malecela. same mashariki mama harudi tena 2010. wazee na wananchi waliamua kumuondoa daniel yona, sasa wembe huohuo utamnyoa mama anne kilango malechela.
 
You are very right Koba na wala hujakosea. Ninamfahamu vizuri sana huyu mama ni big talk kweli na ni 'opportunist'.
Kwa wanaomfahamu kabla ya kuwa na Charles Nyange hadi JM wanaelewa vizuri.

1

Mkuu Pundamilia,

Nilikuwa nimeanza kukuheshimu sana hapa JF, mpaka nilipoiona hii post yako, what a shame! Wewe Mtanzania umeibiwa weee na kina Lowassa, mpaka umeme hakuna, jiji zima la Dar linanuka moshi kwa vi-generator ambavyo havijapimwa na chombo maalum cha serikali kuona kama polution yake ni hatari kwa wananchi au la, taifa limeibiwa mapesa kibao na hawa kina Lowassa, leo badala ya kudai kina Lowassa wapelekwe Jela, wewe unamtukana Mbunge aliyemshindilia Lowasssa misumari ya mwisho kwenye jeneza lake?

Nilifikiri utakuwa hapa kuongelea kwamba Lowassa, baada ya kuwakamatisha wabunge kule Manyara, just because alikuwa anamtaka mtu wake apite, angepaswa anyamaze kuhusu haki, maana yeye binafsi haijui haki, leo wewe unamtukana Mbunge ambaye taifa zima limekubali kuwa ni shujaaaa!
Pundamilia, maneno yako ni udaku na uzandiki, kwa sababu ukweli ni kwamba humjui huyo mama, amekuwa mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, amekuwa senior accountant kuanzia Gulf Air mpaka Air Tanzania, Mbunge wa kuteuliwa na Rais baada ya kuonewa na Sumaye na Mmme mwenziwe Keeenja, kwenye ubunge wa Ubungo ambako ni clear kuwa mama alishinda, tena akiwa single maana then hakuwa mke wa Malecela, na ni mfanya Biashara mkubwa sana mwenye maduka kuanzia Dodoma, Dar, na Kihurio, wabunge wote hununua vitu vyao muhimu kwenye maduka yake huko Dodoma, ana nyumba zake binafsi toka Dodoma mpaka Dar, kutokana na biashara zake za nguo toka USA, na amekuwa hivi kabla hajaolewa na Malecela, leo unamwita opportunists exactly kwa misingi ipi mkuu?

Hivi wewe Pundamilia, shughuli aliyoifanya huyu mama jana bungeni wewe unaweza kuifanya? au tuambie umewahi kuifanya wapi huko duniani licha ya bongo? Hivi vijana haya maneno mnayarusha rusha mnaelewa maana yake au ndio ngumbaru? Unamwita opportunist kiongozi ambaye amekuwa akilala macho kuutafuta ukweli kuhusu Richmonduli, na amekuwa mwenyeji wa hapa JF kila siku kutafuta data, ambazo 1/3 alizozimwaga jana bungeni amezitoa hapa JF, maana tumekuwa tukim-forwardia kwa muda mrefu sasa, amezimwaga mbele ya Lowasssa, mwenyewe uso kwa uso, wewe unasema ni opportunist? Wallahi sisi weusi ni ngozi ya matako, yaaani mkuu huna hata haya umekalia keyboard kuchapa haya maneno ya choooni?
Kuacha Mwakyembe na huyu mama, nitajie kiongozi mwingine wa CCM, unayemjua asiyekuwa opportunist anayeweza kumtwanga Lowasssa, mbele ya uso wake? Spika mwenyewe alikuwa ameamua kukimbia huyo ungesema ni opportunist ningekuelewa mpuuuzi mkubwa wewe. Hivi unaelewa kuwa kuwekwa kwake wa kwanza huyu mama kwenye kuzungumza bungeni jana haikuwa bahati mbaya, ila Spika alishinikizwa na wabunge karibu wote kuwa mama apewe wa kwanza ili amalizie misumari ya jeneza la Lowasssa, unafikiri kati ya hao wabunge hakukuwa na wanaume?

2.

Mkuu unahitaji kushika adabu yako, maana inaonekana hukufunzwa na wazazi wako kuheshimu watu, mimi ninamfahamu huyu mama kabla hajaolewa na Malecela, na akiwa mke wa Nyange, ambaye alikuwa mmoja wa wakurugenzi kule kiwanda cha bia kwa sababu walikuwa ofisi moja na mshikaji wangu wa karibu sana Marehemu Guntram Itatiro, ambaye mkewe ni dada wa mmoja wa wafanyakazi wa ndani wa familia yangu ambaye amekuwa nasi for the last 20 years, nimewaona mara kwa mara kwenye sherehe mbali mbali, walifkia mahali yeye na Nyange, hawakuelewana wakapeana talaka, Nyange ameoa na mama ameolewa sasa naomba useme exactly ni sababu ipi inayomfanya yule Nyange awe safi na huyu mama awe mbaya?
Ninaomba useme ni bina-adam wangapi unaowajua, ambao kabla ya kuoa na kuolewa walikuwa malaika?

Mkuu Pundamilia, ninakuomba next time kabla hujamtukana kiongozi yoyote hakikihs akuwa una ukweli, uliyoyasema hapa ni uongo tena wa mchana kweupeee, Mama Anna Kilango, ni mfanya biashara mkubwa sana mkuu hata kabla hajaolewa na Malecela, na hajawahi kuwa opportunist maana angekuwa basi angeshakuwa waziri, kama walivyo kina Buriani, huyu kwa aliyoyafanya jana ni shujaaa wa taifa mkuu, kabla ya kikao cha bunge kuanza jana niliongea na wabunge wengi na yeye akiwa mmoja wapo, nikamkumbusha ile hard work ya kutafuta dataz hapa JF na akanihakikishia kuwa anaenda kumkoma nyani and she did, na leo asubuhi pia niliongea nae tena, mkuu Pundamilia, ukweli ni kwamba Lowassa alienda bungeni kutoa mallamiko ya kuonewa bila hata ya kuisoma ile ripoti nzima ya Mwakyembe, kwa hiyo wananchi wenye uchungu na taifa walimbonyeza mama mapema kuwa Lowassa hajaisoma, ndio mama alikuwa akimtwanga kwa kutumia barua zake Lowasssa, mwenyewe kwa sababu hakujua kuwa kwenye ile ripoti kuna barua zake mwenyewe kwa mawaziri akiwaagiza kuhusu mlo, na pia kumbuka kuwa ripoti iliyotolewa kwetu kuna yaliyobakizwa mkuu, maana viongozi wa kumainika kama huyu mama walipewa kakitabu toka last weeek,

Msiyoyajua ulizeni, badala ya kuja kurusha matusi hapa kama vile tuko kilabuni, mkuu hikli sio kilabu cha pombe, hii ni forum inayosomwa na wananchi dunia nzima, na kuna mashirika ya habari maarufu duniani yanachukua habari hapa, sasa kuwa muangalifu na unachosema kwanza mkuu.

Ahsante, na anytime nipo mkuu kwa maelezo zaidi.

Mkuu simvui mtu nguo, hizi ni zama za uwazi, hakuna siri kama hapo niliousema ni ukweli ambao unatakliwa uwekwe wazi, ninasema JF played a big role kwenye kutoa dataz za Richmonduli, the matter of fact hata picha ya kwanza kwa serikali ya ofisi ya Richmond kule Texas, ilianzia hapa JF, mkuu Mwakyembe ameshatufumbua sasa hakuna siri za kijinga ukweli usemwe wazi, kitendo cha kumtukana huyu mama yaaani siwezi nikaelewa wakati leo Tanzania nzima mama anasherehekewa na wananchi walio wengi.

Kama huu ukweli kuhusu huyu mama ninaoujua umekuuudhi I am not sorry mkuu, kwa sababu ninajua time na wakati wa kila kitu, lakini ni lazima niweke record straight kwamba kwanza ninamfahamu huyu mbunge kama ninavyowafahamu wabunge wengi kwa karibu, na kwamba hayo maneno ya kumtukana matusi ya nguoni ni pathetic!

Samahani kama nimekukwaza na huu ukweli wa kumjua huyu mama mbunge, against matusi aliyotukanwa, maana sioni kuwa yamekusumbua, lakini umesumbuliwa na ukweli wa kumjua mama! Ukweli ni kwamba ninafanya hivyo kumfahamisha mtukanaji kuwa ninamfahamu anayemtukana, na kwamba matusi yake sio kweli!

Ahsante Mkuu!

Mkuu Nzoka,

Kwanza ninataka kuamini kuwa wewe sio Koba, Pundamilia, ameraise two important ishus ambazo zinagusa kwanza personal life ya kiongozi wa siasa, na amejaribu kuuua character ya a popular kiongozi of the time, inaonekana kuwa wewe na mimi tumesoma shule tofauti, wewe inaonekana umesoma English, na mimi nimesoma political sciense ikiwa ni pamoja na a lot of experience kwenye siasa za kweli,

Sikatai point yako ambayo kama mwenyewe unavyosema umeitoa kwa "nia njema", lakini tatizo ni kwamba kwenye siasa kuuua character ya kiongozi kama Pundamilia alivyofanya, sio lazima useme maneno mengi, hayo tu aliyoyasema Pundamilia yanatosha kuharibu jina la kiongozi wa siasa, Pundamilia amegusa sehemu mbili muhimu,

(1). Kwamba kiongozi ni opportunist, (2). Yeye anamjua binafsi Kiongozi kuwa ana tabia mbaya, kabla na hata baaada ya kuolewa ikiwa ni pamoja kumtaja mume wa zamani wa kiongozi.


Kwa mtizamo wako wa angle ya English school, mkuu anatakiwa kujibiwa kwa sentesi mbili au moja, ila kwa angle yangu ya siasa mkuu Pundamilia anatakiwa kueleweshwa (1). little history ya kiongozi, (2). kwamba hamjui, na tatu (3). kiongozi huyu hana hizo tabia alizozisema, (4). Kumsafisha mbele ya macho ya wananchi ambao wanaweza kumtizama kwa wasi wasi kutokana na maneno hayo ya Pundamilia, ambayo ni very damaging kwa mwananchi asiyemfahamu huyu mama vizuri.
Mkuu kwenye siasa, adui akikutupia mawe, ni lazima kwenye kumjibu umpelekeee mpaka nyumbani kwake, that is what I always do, kwa sababu ni lazima uelewe kuwa aliyeandika ana sababu, na hasa pale alipomtaja mume wa zamani wa mama, sasa kum-shut down lazima counter argument iwe strong with serious information kumuonyesha mtukanaji kuwa I know the person, ili kama kweli anazo damaging info zaidi lazima ziwe serious na strong, au aache kabisa ambayo ndio nia hasa ya kumjibu kwangu with details. huyu mkuu asingetaja mambo ya mume wa zamani nisingekwenda that deep,

again sina mpango wowote wa kuacha hiyo tabia pale atakapotukanwa kiongozi au mwananchi yoyote ninayemfahamu, mimi nilitegemea uwe outraged na matusi aliyotukanwa mama, lakini nashangaa kuwa umekuwa offended na majibu yangu ya kumtetea mama kiongozi kuliko matusi aliyotukanwa, anyways mkuu unajua hapa nia na madumuni ni kuelimishana, kuna ishu zinahitaji sentensi moja, kuna ishu mbili, na kuna ishus zinazohiatji essay, cha muhimu ni hoja, sio urefu wala ufupi wa maelezo au elimu, ila ni muhimu tunapoandika kuwa na ukweli, ushahidi, au dataz.

nia na madhumuni yangu ilikuwa kumuonyehsa mkuu Pundamilia, kuwa hamfahamu huyu mama Kiongozi, na kwamba huyu mama sio opportunist, na wala hana tabia mbaya kabla na baada ya kuolewa katika ndoa zake mbili, if I have to nitarudia tena kwa the same details, samahani sana mkuu kama unakwazika na style yangu ya uandishi, ila sina mpanfgo wowote wa kuibadili, especially at this time and age.

Ahsante Mkuu!

Mkuu ninakuelewa, kama point ya Pundamilia, ilikuwa ni hiyo yaaani oppportunist wa kisasa, basi asngetaja ndoa na waume wa mama, alipowataja hao ilikuwa ni personal sio siasa, tena.



Ahsante Mkuu

AHSANTE SANA MH FIELD MARSHALL ES, NADHANI MKUKI UMEMCHOMA BINADAMU NDIYO MAANA KELELE ZIMEKUWA NYINGI NA MAELEZO MAREFU YA KUJIKANYAGA KAMA EL. KUMBUKA SIKU ZOTE JIBU SWALI ULILOULIZWA NA KAMA HUELEWI ULIZA UPATE UFAFANUZI.
MIMI SINA HAJA YA KWENDA KWENYE MITUNDIKO YAKO MAANA UMEANDIKA NA MENGINE AMBAYO HATA HUJAULIZWA.
LAKINI SASA NINAKUULIZA BAADA YA KUKUNUKUU HAPA CHINI

nia na madhumuni yangu ilikuwa kumuonyehsa mkuu Pundamilia, kuwa hamfahamu huyu mama Kiongozi, na kwamba huyu mama sio opportunist, na wala hana tabia mbaya kabla na baada ya kuolewa katika ndoa zake mbili

NITAJIE JINA LA RAFIKI YAKE ANNA KILANGO AMBAYE ALIKUWA MCHUMBA WAKE CHARLES NYANGE?

FIELD MARSHALL ES,
NAKUSHUKURU KWA KUAMUA KWAKO KUJITOA KUTETEA UPUUZI WAKO. NILIKUULIZA SWALI KAMA WEWE UNAMJUA FIKA HUYO MAMA, LAKINI KWA KUSHINDWA KUJIBU SWALI NILILOKUULIZA NI WAZI KABISA KWAMBA HUMJUI KAMA UNAVYODAI AU UNAVYOTAKA KUFICHA YALE AMBAYO NI MAPUNGUFU YAKE. KAMA ILIVYO, PUBLIC IMAGE LAZIMA IJULIKANE KAMA ILIVYO KWA PUBLIC. SAMAHANI SANA KAMA UNAONA MISTARI YANGU IMEKUWA KAMA INATIBUA MWELEKEO WA ULAJI KATI YA SIKU MBILI HIZI.

IN SHORT HUYO MAMA NI 'OPPORTUNIST' NA HILI HUWEZI KULIBADILISHA. KAMA UNAMFAGILIA ETI TU KWA SABABU AMEKUWA AKICHUKUA 'HOJA' ZAKO NA KUZIPELEKA BUNGENI NADHANI HUO NI WAJIBU WA KILA MWAKILISHI, LAKINI NADHANI PIA HUENDA ALIKUWA AKITOA SIRI ZA NDANI BUNGENI NA KUKUPATIA UZIWEKE HUMU NDANI AU SIO?
ANNA NINAMFAHAMU A TO Z ANA MAPUNGUFU YAKE KADHAA KAMA BINADAMU WENGINE, KUNA TATIZO GANI WANANCHI WAKIFAHAMU MAPUNGUFU YA KIONGOZI WAO? AU UNATAKA NIONGELEE YALE UNAYOTAKA KUSIKIA WEWE TU? NI WATU WANGAPI HAPA WAMESEMWA MAPUNGUFU YAO NA UKAJITOKEZA HADHARANI KUWATETEA?
ACHA UZANDIKI.

MWAFRIKA WA KIKE,
NIMEFURAHI KUONA KUWA KUMBE UNAWEZA KUTUNGA HABARI AMBAYO SI YA KWELI JUU YANGU KAMA ULIVYOITUNDIKA HAPO JUU. LAKINI NADHANI HUO NDIO UKWELI JUU YA FIKRA ZAKO NA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI.
KAZI YANGU NILIKWISHAMALIZA NA KUIELEZA PUBLIC KUWA HUYO MAMA NI OPPORTUNIST. KWA YEYOTE ANAYEKERWA NA UKWELI HUU I AM SORRY , I CAN'T HELP. ZAIDI YA HAPO, KATU SITAWEZA KUUBADILI UKWELI HUO UWE VINGINEVYO. SHE IS AN OPPORTUNIST.
BINAFSI SINA CHUKI NAYE HATA KIDOGO, LAKINI KAMA MNAMPENDA SANA NA HAMTAKI ASIONGELEWE, BASI NENDENI MKANYWE NAE CHAI AWAPATIE 'NYETI' ZA BUNGENI NA NYINGINE ANAZOZIPATA SERIKALINI.



Mama Anna Kilango, Mheshimiwa mbunge ni mwanasiasa, na wanasiasa wote duniani ni ma-opportunist kwa sababu ni mwanasiasa mjinga tu ndiye anyeweza kusema kuwa ameridhika na ubunge tu, kila mwanasiasa duniani ni lazima awe na lengo la kuwa waziri, waziri mkuu, mpaka rais, mchezo wa siasa unachezwa kwa opportunity ndio maana wagombea wa siasa kama Pinda, aliposhindwa ubunge mara ya kwanza hakukata tamaa, akarudia tena opportunity ilipotokea na leo ni Waziri Mkuu, sasa Pundamilia kama hii ndio opportunism uliyokuwa unaiongelea kwa mbunge huyu wa Same East, I can understand, lakini you were wrong kujaribu kuiweka hiyo kwenye personal life yake,

Sasa hivi uchumi wa US ni mbovu, Republicans wameiona hiyo opporunity na kuamua kutoa rebate checks za taxes ili kujiweka sawa na wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa rais ujao, unless tuna matatizo ya kuelewa maana ya neno "Political Opportunism", ninasema kuwa yes Mbunge Mama Anna Kilango, ni political opportubist kwa sababu ameiona an open political opportunity ya kujiweka sawa kisiasa na ameitumia, bila ya uoga na kujiwekea jina kubwa sana kwenye siasa zetu za kupambana na mafisadi, na tunamuombea Mungu ampe moyo huo huo, atakapoona opportunity nyingine ajitokeze tena, maana inaonekana Bongo tutakombolewa na hawa kind ya political opportunists,


Mkuu Field Marshall ES,
Ahsante sana kwa maelezo yako. Je, uko tayari kuniomba msamaha kwa maneno yako 'makali' uliyonielekezea kwangu katika post yako ya kwanza?



Mkuu Pundamilia07,

Are you kidding me? or what?

I mean it!

Mkuu Pundamilia07,

Heshima yako mkuu, hivi kweli unaweza kusema hizo quote mbili hapo juu, zimetolewa na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri mpaka kuwa na authority ya kutukana Senior members ambao ni the real deal hapa JF kama Mwafrika Wa Kike?

Pundamilia are you serious au you are having April Fool on a Valentine's day in February?

Mkuu anawanyimaje elimu wananchi aliowaletea contena zima la vitabu toka UK, kitendo ambacho siku ya kuanzwa usambazaji wake rasmi, kilifunguliwa na Lowassa mwenyewe akiwa Waziri Mkuu, na kuonyehswa na media zote nchini?



[





]







Mama Kilango, hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote, alianza kiwa Mwalimu wa Sekondari Kisutu, Accountant Air-Tanzania, Accountant Gulf Air, Mfanya biashara, Mwenyekiti UWT Kinondoni, Mbunge wa Rais, na sasa Mbunge wa Same East, nirudie tena kuwa hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote kwa wizi, ni uongo mkuu wa mchana, cc huwa hampitishi mgombea yoyote aliyewahi kutuhumiwa na wizi, ni opportunist wa siasa kama walivyo wote wanasiasa, na kiboko wa ufisadi sasa hivi tunajribu kumuomba ahamie kwenye waliojiuzulu kupelekwa mahakamni, mkuu Bangusile acha uzandiki mkuu uweli ni kwamba huna convincing argument against mama, ila una maneno mengi ya chuki na ya kijiweni huko Same, otherwise nipo mkuu kukusaidia kuhusu jimbo la Same East na mbunge wake mkuu, maana hulijui.

Mkuu Nzoka,

Nafikiri haya mael;ezo yamekutosha maana na wewe siioni point yako iko wapi, halafu tumia majina yako tu ya kawaida huna sababu ya kujificha nyuma ya hili jina la Nzoka, hivi umegundua kuwa huwa unatumia majina ya Kaskazini tu,

Ahsante Mkuu!

Nipe tafsiri ya neno kutukana and then uniambie katika niliyoandika lipi ni tusi?

Pili, humu ndani ya JF kuna untouchables?

Posting yangu ya pili ndiyo ilikuwa litmus test yako wewe kama kweli unamjua huyu mama, kwani katika maelezo yako, pamoja na mambo mengine unataka tukubali kuwa huyu mama ni safi. Hata hivyo kwa wale wanaoelewa watajua swali langu nililielekeza wapi na kwa sababu zipi. Kama unataka kuanika zaidi jibu hilo swali.



Mama Kilango, hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote, alianza kiwa Mwalimu wa Sekondari Kisutu, Accountant Air-Tanzania, Accountant Gulf Air, Mfanya biashara, Mwenyekiti UWT Kinondoni,

Mkuu FMES,
Nilikutaka uniombe msamaha lakini naona umekauka, anyway sio kitu kwani hiyo iko ndani ya hiyari yako. Hata hivyo unaweza kuniomba msamaha 'kimoyo-moyo'

Hata hivyo naona Mkuu nia yako ni kutaka kumtetea huyu mteja wako kwa hali yeyote ile.

1. Je, unaweza kutuambia kwanini aliacha kufundisha pale Kisutu Sekondari?
2. Je, unajua kuwa unasema uwongo kuwa huyu mama alikuwa 'Accountant' pale Air Tanzania? Je, unaweza kutupatia sifa za mtu anayeitwa Accountant huku ukifanya marejeo katika professional qualifications zake?


"Heshima yako mkuu, hivi kweli unaweza kusema hizo quote mbili hapo juu, zimetolewa na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri mpaka kuwa na authority ya kutukana Senior members ambao ni the real deal hapa JF kama Mwafrika Wa Kike?"



Nakushuru Mkuu Lunyungu.

Pamoja na maelezo yako yote marefu, please go back kwenye threads zangu ninahitaji majibu.

Nina hitaji majibu kutoka FMES kutoka katika postings zangu zilizopita kwani ameandika uongo kwa kutaka kumfagilia huyu Mama Anna Kilango a.k.a. Anna Malecela a.k.a Anna Nyange. Sidhani kama amekutuma umjibie kwa niaba yake.
Nataka twende hatua kwa hatua.

MKUU FMES,
NIMEKUOMBA URUDI HAPA UKIRI KWAMBA UMEIDANGANYA FORUM JUU YA MAMA KILANGO, LAKINI INAONYESHA HUTAKI KUFANYA HIVYO. PLEASE RUDI UTHIBITISHE UONGO WAKO KABLA SIJATAMKA RASMI KUWA UMEDANGANYA FORUM KWA VILE NINA USHAHIDI WA KUTOSHA. SI NIA YANGU KUENDELEA KUELEZA ZAIDI YANAYOMHUSU 'MTEJA' WAKO LAKINI IKILAZIMIKA NITAFANYA HIVYO AND I DON'T WANT TO BE RESPOSIBLE FOR ANY DAMAGE ITAYOTOKEA.


MKANDARA,
Inawezekana hauko kwenye picha kamili ndiyo sababu unadhani tunabishana. Nimejaribu kukuwekea huo mtiririko ili kama unataka kuelewa wapi niliposimamia iwe rahisi kwako kuelewa.
In short nili-comment hoja ya Koba kwa maneno machache sana. Lakini nilikuja kujibiwa kwa mistari mingi na ikinishutumu kwamba nimemtukana Mama Kilango tena nikiambiwa nimemtukana matusi ya 'nguoni'???!!!
Nilijaribu kutaka kujua ni kwa kiasi gani FMES anamfahamu huyu mama na nikagundua kuwa alikuwa na jazba na amesema maneno ya uongo juu ya huyo mama na isitoshe ameongea maneno makali ya kunishutumu juu mistari yangu.

Kwa hiyo Mkandara kama unataka kujua zaidi soma hapo juu. Lakini nasisitiza kuwa kama FMES hatojibu maswali niliyomuuliza au hatoniomba msamaha kwa shutuma zake juu yangu, basi nitaweka mistari mingine zaidi dhidi ya 'mteja' wake na kama itakuwa na damage yeyote naomba nisiwajibike nayo.
 
Quote: Pundamilia07

You are very right Koba na wala hujakosea. Ninamfahamu vizuri sana huyu mama ni big talk kweli na ni 'opportunist'.
Kwa wanaomfahamu kabla ya kuwa na Charles Nyange hadi JM wanaelewa vizuri.

Pundamilia,

Unasema haya maneno yako juu sio matusi ya nguoni? Mkuu naomba nikuambie one thing, hapa JF watu wazima huwa hatutishani nyau, ninaruida tena kauliza zangu kuwa simfahamu mama kabla ya kuolewa na Nyange, nilisema hivyo kwa kukuuuliza kama unamfahamu binadamu yoyote aliyekuwa malaika kabla ya kuoa na kuolewa,

lakini ninamfahamu toka baada ya kuolewa na Nyange, mpaka sasa, sasa mkuu wangu tatizo lako ni kwamba unaaamini kuwa hufahamiki, as long as husemi ukweli, na wewe usije laumu mtu hapa mkuu, ninasema kuwa usinitishie nyau mkuu, wewe umuombe radhi mama kwa kumtukana bila sababu, lakini usinitishe kabisa mkuu I hope sitahitaji kurudia haya!
 
MKUU FMES,
NIMEKUOMBA URUDI HAPA UKIRI KWAMBA UMEIDANGANYA FORUM JUU YA MAMA KILANGO, LAKINI INAONYESHA HUTAKI KUFANYA HIVYO. PLEASE RUDI UTHIBITISHE UONGO WAKO KABLA SIJATAMKA RASMI KUWA UMEDANGANYA FORUM KWA VILE NINA USHAHIDI WA KUTOSHA. SI NIA YANGU KUENDELEA KUELEZA ZAIDI YANAYOMHUSU 'MTEJA' WAKO LAKINI IKILAZIMIKA NITAFANYA HIVYO AND I DON'T WANT TO BE RESPOSIBLE FOR ANY DAMAGE ITAYOTOKEA.

Unamtisha nani hapa wewe? peleka vitisho bubu vyako kule darhotwire au nyozigi au kulewanakolialia.co.uzushinamajungu
 
Quote: Pundamilia07

NITAJIE JINA LA RAFIKI YAKE ANNA KILANGO AMBAYE ALIKUWA MCHUMBA WAKE CHARLES NYANGE?


Pundamilia,

Unasema haya sio matusi ya nguoni? Haya yanahusika vipi na maneno ya mama bungeni kwa lowassa?
 
Quote: Pundamilia07

NITAJIE JINA LA RAFIKI YAKE ANNA KILANGO AMBAYE ALIKUWA MCHUMBA WAKE CHARLES NYANGE?

Pundamilia,

Unasema haya sio matusi ya nguoni? Haya yanahusika vipi na maneno ya mama bungeni kwa lowassa?


WEWE UMESEMA UNAMFAHAMU VIZURI NA HAJAWAHI KUWA NA TABIA MBAYA KABLA NA BAADA YA NDOA ZAKE, JIBU SWALI AU BADILI SENTENSI ZAKO.
 
Back
Top Bottom