William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkuu Lunyungu,
Kwanza huu mjadala ni mkubwa sana kuliko mimi ES, hapa linajadiliwa taifa,
halafu ninataka kuamini kutokujibu kwangu mashambulizi yako kwa muda sasa, ni kama kawaida yangu siku zote kuwaheshimu wajumbe wote hapa JF bila ya kujali who they are,
Lakini please get this straight kuwa sio kwamba ninakuogopa kama unavyoanza kuonyesha kwa maneno yako, mimi sio Masatu ambaye umemrushia mashambulizi kidogo tu sasa anakulamba miguu I do not do that, na wala sitaniani na mtu, hapa JF, ninakuja kwa politics tu na only politics, sasa naona unataka more than politics kutoka kwangu, just keep on coming mkuu, nisichotaka ni kufutwa huu mjadala, lakini I can play you 24/7, Heshima ni kitu cha bure bro, nilifikiri tumeelewana kumbe bado mkuu, sasa ninasema hivi it is all on you mkuu, kama ni siasa ongea siasa, lakini anything else kutakuwa na exactly the same response tena kwa lugha unayoonekana kuielewa zaidi!
Mama Kilango, ninamfahamu kama ninavyowafahamu viongozi wengi sana wa taifa letu, wa ngazi za juu, kama wewe Lunyungu, ambavyo mara nyingi umesema hapa kuwa unawajua baadhi ya viongozi wa upinzani, wananchi wote hapa tunaingia kwa majina ya bandia, isipokuwa kwa watu Kitila, Mkandara, Mnyika, na Zitto, hawa wakisema unayosema kuwa wanaongelea majimbo yao, nitaelewa, lakini otherwise wote tunaongelea siasa ya taifa letu kama wananchi tu, na hakuna mwemye haki zaidi ya mwingine isipokuwa hoja ndio zitaamua haki ya mtoa hoja on the ishu, na hata authority kwenye ishu.
Halafu haya maneno ya untouchables, sielewi yanatoka wapi na yanaelekea wapi, hapa tunajadili hoja, sasa hoja zinaingilianaje na hoja za untouchables? Hapa JF wote hatuko sawa NO way, kuna watu ambao wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuiona siasa yetu ya bongo kuliko wengine hapa, na hilo linathibitishwa na mawazo yao hapa JF, na wengine kama kina Mwanakijiji ambao wameweza kututangaza JF mpaka kwa taifa zima kupitia magazetini, sasa kihoja hao wanakuwa na more authority kwenye ishus hapa kwa sababu wanaweza kuzitetea hoja zao, sasa kwa wale ambao hawawezi kuzitetea hoja zao tuwafanyie nini? Hatuwezi kulazimisha hoja tu hata kama haipo ili kumkomoa member mwingine mkuu, hoja hujibiwa kwa hoja, na kama hoja ni kuwa mwenyeji tu wa tunayoyaongelea basi JF itabidi tukae kimya, maana nani hapa anaishi bungeni? Nani hapa anaishi Ikulu? Nani hapa anaishi na Lowassa mpaka kuwa na uthority ya kumuongelea? Kama kuna mtu ameshindwa hoja basi akubali sio kuleta maneno ya untouchables, no unakuwa untouchable kwa kuwa na hoja, sio viroja, na kwenye hilo hakuna njia ya mkato, the secret ni kwamba the untouchables wa hoja huwa hawarukii ishu bila kuijua,
Wananchi wengi hapa wanawajua viongozi, na husema experience zao inapobidi, ndio hasa maana ya kuja kwenye mjadala hapa, sasa ninaona mkuu unajaribu sana kunionda kwenye mijadala na kuifanya iwe personal, something I do not Appreciate, toka niingie humu forums nimewatete aviongozi wengi sana, sasa nashangaa nikiwatetea Malecela na Mkewe, wewe unataka kuleta matusi na vitisho, na maneno mengi ya kejeli ambayo sio hoja za msingi, exactly unaniambia nini kwamba unanitisha ili siseme unayotaka wewe, au nisiseme my mind hapa JF, au mkuu exactly unataka kuniambia nini hasa Lunyungu? Wewe unaweza kunitisha mimi wewe? are you serious mkuu au? Unarusha rusha majina ya watu wasiohusika hapa JF, exactly unachotaka ni nini mkuu?
Mimi mkuu nitaendelea na kukata ishus hapa bila ya kujali mtu, kutishiwa na wewe hilo sahau mkuu haitakuja kutokea, I am my own man mkuu, sijali mtu asiyejijali, na simuheshimu yoyote asiyejiheshimu, hii topic ni muhimu sana kwa wasiomjua mbunge Kilango, maana wanaweza kujionea uongo na ukweli ulipo, hilo sina tatizo na JF, sasa kama una hoja against Mama Kilango, ziweke hapa na mimi nitaziweka za kwangu, lakini please usinitishe tena mkuu na maneno yako, nimekupa heshima ya kutosha sasa, lakini kukuogopa au kutishika na wewe hilo halitakuja kutokea kamwe mkuu,
Tuendelee kukata ishus mkuu!