Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

Mkuu Lunyungu,

Kwanza huu mjadala ni mkubwa sana kuliko mimi ES, hapa linajadiliwa taifa,

halafu ninataka kuamini kutokujibu kwangu mashambulizi yako kwa muda sasa, ni kama kawaida yangu siku zote kuwaheshimu wajumbe wote hapa JF bila ya kujali who they are,

Lakini please get this straight kuwa sio kwamba ninakuogopa kama unavyoanza kuonyesha kwa maneno yako, mimi sio Masatu ambaye umemrushia mashambulizi kidogo tu sasa anakulamba miguu I do not do that, na wala sitaniani na mtu, hapa JF, ninakuja kwa politics tu na only politics, sasa naona unataka more than politics kutoka kwangu, just keep on coming mkuu, nisichotaka ni kufutwa huu mjadala, lakini I can play you 24/7, Heshima ni kitu cha bure bro, nilifikiri tumeelewana kumbe bado mkuu, sasa ninasema hivi it is all on you mkuu, kama ni siasa ongea siasa, lakini anything else kutakuwa na exactly the same response tena kwa lugha unayoonekana kuielewa zaidi!

Mama Kilango, ninamfahamu kama ninavyowafahamu viongozi wengi sana wa taifa letu, wa ngazi za juu, kama wewe Lunyungu, ambavyo mara nyingi umesema hapa kuwa unawajua baadhi ya viongozi wa upinzani, wananchi wote hapa tunaingia kwa majina ya bandia, isipokuwa kwa watu Kitila, Mkandara, Mnyika, na Zitto, hawa wakisema unayosema kuwa wanaongelea majimbo yao, nitaelewa, lakini otherwise wote tunaongelea siasa ya taifa letu kama wananchi tu, na hakuna mwemye haki zaidi ya mwingine isipokuwa hoja ndio zitaamua haki ya mtoa hoja on the ishu, na hata authority kwenye ishu.

Halafu haya maneno ya untouchables, sielewi yanatoka wapi na yanaelekea wapi, hapa tunajadili hoja, sasa hoja zinaingilianaje na hoja za untouchables? Hapa JF wote hatuko sawa NO way, kuna watu ambao wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuiona siasa yetu ya bongo kuliko wengine hapa, na hilo linathibitishwa na mawazo yao hapa JF, na wengine kama kina Mwanakijiji ambao wameweza kututangaza JF mpaka kwa taifa zima kupitia magazetini, sasa kihoja hao wanakuwa na more authority kwenye ishus hapa kwa sababu wanaweza kuzitetea hoja zao, sasa kwa wale ambao hawawezi kuzitetea hoja zao tuwafanyie nini? Hatuwezi kulazimisha hoja tu hata kama haipo ili kumkomoa member mwingine mkuu, hoja hujibiwa kwa hoja, na kama hoja ni kuwa mwenyeji tu wa tunayoyaongelea basi JF itabidi tukae kimya, maana nani hapa anaishi bungeni? Nani hapa anaishi Ikulu? Nani hapa anaishi na Lowassa mpaka kuwa na uthority ya kumuongelea? Kama kuna mtu ameshindwa hoja basi akubali sio kuleta maneno ya untouchables, no unakuwa untouchable kwa kuwa na hoja, sio viroja, na kwenye hilo hakuna njia ya mkato, the secret ni kwamba the untouchables wa hoja huwa hawarukii ishu bila kuijua,

Wananchi wengi hapa wanawajua viongozi, na husema experience zao inapobidi, ndio hasa maana ya kuja kwenye mjadala hapa, sasa ninaona mkuu unajaribu sana kunionda kwenye mijadala na kuifanya iwe personal, something I do not Appreciate, toka niingie humu forums nimewatete aviongozi wengi sana, sasa nashangaa nikiwatetea Malecela na Mkewe, wewe unataka kuleta matusi na vitisho, na maneno mengi ya kejeli ambayo sio hoja za msingi, exactly unaniambia nini kwamba unanitisha ili siseme unayotaka wewe, au nisiseme my mind hapa JF, au mkuu exactly unataka kuniambia nini hasa Lunyungu? Wewe unaweza kunitisha mimi wewe? are you serious mkuu au? Unarusha rusha majina ya watu wasiohusika hapa JF, exactly unachotaka ni nini mkuu?

Mimi mkuu nitaendelea na kukata ishus hapa bila ya kujali mtu, kutishiwa na wewe hilo sahau mkuu haitakuja kutokea, I am my own man mkuu, sijali mtu asiyejijali, na simuheshimu yoyote asiyejiheshimu, hii topic ni muhimu sana kwa wasiomjua mbunge Kilango, maana wanaweza kujionea uongo na ukweli ulipo, hilo sina tatizo na JF, sasa kama una hoja against Mama Kilango, ziweke hapa na mimi nitaziweka za kwangu, lakini please usinitishe tena mkuu na maneno yako, nimekupa heshima ya kutosha sasa, lakini kukuogopa au kutishika na wewe hilo halitakuja kutokea kamwe mkuu,

Tuendelee kukata ishus mkuu!
 
Kitila, FMES, Mwafrika wa Kike and Lizzard,

..............kwa kweli kazi tunayo........ukisoma post ya Punda.......kweli it does not make sense and thus chuki binafsi ndio iliyo wazi..........vita vya mafisadi ni ngumu...wakati mwingine hata majemedari hujikuta wameingia ktk mitego ya mafisadi bila kujijua............ni jukumu letu sote kuwaelimisha.......and no doubt JF have so far iko mbele.

Mkuu Kitila well said mkuu.......nothing to add Mkuu!!
 
Chiefs,

Why can't we all just get along? And in order to get a long, RESPECT is important...respect for those who are representing us in the Parliament, respect for fellow JF members and most importantly self-respect.

It appears some members here have some sort of a beef with Mama Kilango. Well, they have a right to have the beef (if they feel it is legitimate) but I would suggest to them to go and express their feelings before the voters in Same in 2010 instead of making some baseless accusation and disrespecting her. It seems that these individuals have personal vendetta against this lady to the point they grossly underscore what Hon. Kilango did to our nation, especially last week. This is absurd! Hons. Kilango, Mwakyembe, Seleli, Shellukindo(who has been unfairly left out of the picture while he is the one who pushed for the formation of the Select Committee) and others have done an unprecedented act of setting aside "uchama" for the sake of "Utaifa". Some of these individuals have even faced death threats for standing up on our behalf.

I beg all involved to keep the differences they have but respect one another. Moreover, let us not forget that our efforts (JF) were catalysts in unearthing "uozo" of Lowassa and others and this is not over yet. Actually it's just a tip of an iceberg. So for all of you who are not fans of Hon. Kilango, well, you can prove her wrong in 2010 but otherwise she deserves a praise and respect.
 
Mkuu Lunyungu,

Kwanza huu mjadala ni mkubwa sana kuliko mimi ES, hapa linajadiliwa taifa,

halafu ninataka kuamini kutokujibu kwangu mashambulizi yako kwa muda sasa, ni kama kawaida yangu siku zote kuwaheshimu wajumbe wote hapa JF bila ya kujali who they are,

Lakini please get this straight kuwa sio kwamba ninakuogopa kama unavyoanza kuonyesha kwa maneno yako, mimi sio Masatu ambaye umemrushia mashambulizi kidogo tu sasa anakulamba miguu I do not do that, na wala sitaniani na mtu, hapa JF, ninakuja kwa politics tu na only politics, sasa naona unataka more than politics kutoka kwangu, just keep on coming mkuu, nisichotaka ni kufutwa huu mjadala, lakini I can play you 24/7, Heshima ni kitu cha bure bro, nilifikiri tumeelewana kumbe bado mkuu, sasa ninasema hivi it is all on you mkuu, kama ni siasa ongea siasa, lakini anything else kutakuwa na exactly the same response tena kwa lugha unayoonekana kuielewa zaidi!

Mama Kilango, ninamfahamu kama ninavyowafahamu viongozi wengi sana wa taifa letu, wa ngazi za juu, kama wewe Lunyungu, ambavyo mara nyingi umesema hapa kuwa unawajua baadhi ya viongozi wa upinzani, wananchi wote hapa tunaingia kwa majina ya bandia, isipokuwa kwa watu Kitila, Mkandara, Mnyika, na Zitto, hawa wakisema unayosema kuwa wanaongelea majimbo yao, nitaelewa, lakini otherwise wote tunaongelea siasa ya taifa letu kama wananchi tu, na hakuna mwemye haki zaidi ya mwingine isipokuwa hoja ndio zitaamua haki ya mtoa hoja on the ishu, na hata authority kwenye ishu.

Halafu haya maneno ya untouchables, sielewi yanatoka wapi na yanaelekea wapi, hapa tunajadili hoja, sasa hoja zinaingilianaje na hoja za untouchables? Hapa JF wote hatuko sawa NO way, kuna watu ambao wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuiona siasa yetu ya bongo kuliko wengine hapa, na hilo linathibitishwa na mawazo yao hapa JF, na wengine kama kina Mwanakijiji ambao wameweza kututangaza JF mpaka kwa taifa zima kupitia magazetini, sasa kihoja hao wanakuwa na more authority kwenye ishus hapa kwa sababu wanaweza kuzitetea hoja zao, sasa kwa wale ambao hawawezi kuzitetea hoja zao tuwafanyie nini? Hatuwezi kulazimisha hoja tu hata kama haipo ili kumkomoa member mwingine mkuu, hoja hujibiwa kwa hoja, na kama hoja ni kuwa mwenyeji tu wa tunayoyaongelea basi JF itabidi tukae kimya, maana nani hapa anaishi bungeni? Nani hapa anaishi Ikulu? Nani hapa anaishi na Lowassa mpaka kuwa na uthority ya kumuongelea? Kama kuna mtu ameshindwa hoja basi akubali sio kuleta maneno ya untouchables, no unakuwa untouchable kwa kuwa na hoja, sio viroja, na kwenye hilo hakuna njia ya mkato, the secret ni kwamba the untouchables wa hoja huwa hawarukii ishu bila kuijua,

Wananchi wengi hapa wanawajua viongozi, na husema experience zao inapobidi, ndio hasa maana ya kuja kwenye mjadala hapa, sasa ninaona mkuu unajaribu sana kunionda kwenye mijadala na kuifanya iwe personal, something I do not Appreciate, toka niingie humu forums nimewatete aviongozi wengi sana, sasa nashangaa nikiwatetea Malecela na Mkewe, wewe unataka kuleta matusi na vitisho, na maneno mengi ya kejeli ambayo sio hoja za msingi, exactly unaniambia nini kwamba unanitisha ili siseme unayotaka wewe, au nisiseme my mind hapa JF, au mkuu exactly unataka kuniambia nini hasa Lunyungu? Wewe unaweza kunitisha mimi wewe? are you serious mkuu au? Unarusha rusha majina ya watu wasiohusika hapa JF, exactly unachotaka ni nini mkuu?

Mimi mkuu nitaendelea na kukata ishus hapa bila ya kujali mtu, kutishiwa na wewe hilo sahau mkuu haitakuja kutokea, I am my own man mkuu, sijali mtu asiyejijali, na simuheshimu yoyote asiyejiheshimu, hii topic ni muhimu sana kwa wasiomjua mbunge Kilango, maana wanaweza kujionea uongo na ukweli ulipo, hilo sina tatizo na JF, sasa kama una hoja against Mama Kilango, ziweke hapa na mimi nitaziweka za kwangu, lakini please usinitishe tena mkuu na maneno yako, nimekupa heshima ya kutosha sasa, lakini kukuogopa au kutishika na wewe hilo halitakuja kutokea kamwe mkuu,

Tuendelee kukata ishus mkuu!

Pamoja na maelezo yako yote marefu, please go back kwenye threads zangu ninahitaji majibu.
 
Pundamilia

acha hizo ndugu yangu, it seems unachuki sana na Mama Kilango please kama una ushahidi solid kutokana na madai yako tunaomba ulete, kama sivyo stop wasting your time we dont buy any of that....Ndugu ES achana na huyo na propaganda zake maana naona unazidi kumpa field na baseless accusations zake.
 
Field Marshall ES,
umekuwa ukitoa hoja za uongo katika mjadala huu. umeongopa kuhusu kumuelewa kwako mama kilango na jimbo la same-mashariki. hii inashusha hadhi ya jambo forums kuwa na wachangiaji waongo kama wewe.

umetoa maelezo ya uongo kuhusu mchango wa cleopa msuya kwa maendeleo ya pare nzima. cleopa msuya amehujumu maendeleo ya pare kusini na ushahidi na mashuhuda wa vitendo vyake wapo. kitendo cha cleopa msuya kudai dayosisi ya kkkt mwanga ni muendelezo wa siasa zake za chuki dhidi ya pare kusini au same.

Kitila Mkumbo,
tunaomba msitumie udikteta kutunyamazisha. hatuko hapa kupinga mchango wa mama kilango katika masuala ya richmond au buzwagi. tuko hapa kupinga udikteta wa mama kilango kwa kuzuia ujenzi wa shule jitengeni kihurio same mashariki.

inasononesha mbunge wetu anasifika nje ya jimbo lake lakini hapa kwetu hatuna cha kumsifia. inasononesha mbunge wetu ana kauli za kishujaa huko dodoma lakini hapa kwetu anatudharau na kutudhalilisha sisi na wake zetu na anazuia ujenzi wa shule.

haya siyo majungu ni madai ya ukweli. ukweli lazima usimame wakati wowote ule. wanaodai tumesubiri mpaka mama kilango amekuwa maarufu kwenye suala la richmond hawana hoja yoyote. suala hili limechelewa tu kufika hapa jambo forums lakini ni malalamiko ya msingi na yanahitaji kusikilizwa.

wananchi wa same mashariki hawana rasilimali yoyote ile kama dhahabu,almasi,tanzanite,au gesi. rasilimali na urithi wetu toka kwa mungu ni ardhi na watoto wetu. mwananchi wa kawaida wa same mashariki hajui buzwagi iko wapi au richmond ni nini. hivyo basi elimu kwa watoto wetu ni jambo muhumu na la msingi. tunapolilia elimu ni sawa na nyinyi mnavyolinda dhahabu zetu huko buzwagi na bulyankulu. anayeleta vikwazo katika suala la elimu same mashariki ni adui sawa na wawekezaji matapeli wa buzwagi, bulyankulu,au richmond.

mama kilango ametoa kauli ya kifisadi dhidi ya wapiga kura wake:

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."
 
Lakini please get this straight kuwa sio kwamba ninakuogopa kama unavyoanza kuonyesha kwa maneno yako, mimi sio Masatu ambaye umemrushia mashambulizi kidogo tu sasa anakulamba miguu I do not do that, na wala sitaniani na mtu, hapa JF, ninakuja kwa politics tu na only politics, sasa naona unataka more than politics kutoka kwangu, just keep on coming mkuu, nisichotaka ni kufutwa huu mjadala, lakini I can play you 24/7, Heshima ni kitu cha bure bro, nilifikiri tumeelewana kumbe bado mkuu, sasa ninasema hivi it is all on you mkuu, kama ni siasa ongea siasa, lakini anything else kutakuwa na exactly the same response tena kwa lugha unayoonekana kuielewa zaidi!

Ni kweli wewe sio Masatu kama ambavyo Msatu hawezi kuwa wewe.. Kulamba miguu ya mtu Masatu? U must be joking...

Nilishawahi kukwambia kitambo kwenye thread nyingine unataka kuleta haya mambo ya cyber-bullying eti Lunyungu karusha mashambulizi kidogo namlamba miguu, hii inathibitisha kuwa upeo finyu ulionao wa analyse mambo. Hapa JF kinacho matter ni hoja, kama hoja ikiwa na mashiko sitojali kaitoa nani Lunyungu, Mtu wa Pwani au yeyote yule nitaiunga mkono.

Tatizo lako ni kuwa huna hoja kila kukicha wewe na midata feki tu na kujaribu kutisha watu hapa umefika njoo na kila pumba zako zote utatulia mwenyewe.
 
Pamoja na maelezo yako yote marefu, please go back kwenye threads zangu ninahitaji majibu.

wewe ndiye unahitaji kutoa majibu hapa ya kashfa na tuhuma nzito kabisa ulizomtolea huyu mama hapa. Mambo yako kama haya yana nafasi yake kule darhotwire na forums mbofumbofu zingine. Hapa JF hutapewa nafasi ya kutoa majungu na kashfa kwa sababu tu ya chuki zako binafsi.
 
Field Marshall ES,
umekuwa ukitoa hoja za uongo katika mjadala huu. umeongopa kuhusu kumuelewa kwako mama kilango na jimbo la same-mashariki. hii inashusha hadhi ya jambo forums kuwa na wachangiaji waongo kama wewe.

So far hujasema kitu hata kimoja ambacho FMES ameongopa na badala yake wewe ndio umeandika kitabu kizima cha maneno ya uongo ikiwemo issue ya shule huko Same. Hili la mama Malecela mmeshachemsha maana watanzania wote walimuona na kumsikia akitetea haki bungeni, haya mambo ya kumuanzishia kashfa za kitoto mmeshachemsha.

umetoa maelezo ya uongo kuhusu mchango wa cleopa msuya kwa maendeleo ya pare nzima. cleopa msuya amehujumu maendeleo ya pare kusini na ushahidi na mashuhuda wa vitendo vyake wapo. kitendo cha cleopa msuya kudai dayosisi ya kkkt mwanga ni muendelezo wa siasa zake za chuki dhidi ya pare kusini au same.

Hukufundishwa shuleni kuwa ukipinga hoja za mwenzako inabidi ulete hoja mbadala? ona unavyojikaanga hapa mwenyewe.......

Kitila Mkumbo,
tunaomba msitumie udikteta kutunyamazisha. hatuko hapa kupinga mchango wa mama kilango katika masuala ya richmond au buzwagi. tuko hapa kupinga udikteta wa mama kilango kwa kuzuia ujenzi wa shule jitengeni kihurio same mashariki.

Nani amekunyamazisha hapa? au ndio yaleyale ya kulialia kama mtoto mchanga! hoja mbofumbofu kama hizi huwa zinakemewa maana zinashushia hadhi forum hii

inasononesha mbunge wetu anasifika nje ya jimbo lake lakini hapa kwetu hatuna cha kumsifia. inasononesha mbunge wetu ana kauli za kishujaa huko dodoma lakini hapa kwetu anatudharau na kutudhalilisha sisi na wake zetu na anazuia ujenzi wa shule.

haya siyo majungu ni madai ya ukweli. ukweli lazima usimame wakati wowote ule. wanaodai tumesubiri mpaka mama kilango amekuwa maarufu kwenye suala la richmond hawana hoja yoyote. suala hili limechelewa tu kufika hapa jambo forums lakini ni malalamiko ya msingi na yanahitaji kusikilizwa.

Ah haaaa,

kama nilivyosema mwanzoni, kinachokusumbua hapa ni kuona huyu mama akitetea maslahi ya watanzania wote na kuanza kupata recognition hapa JF. Wivu na uzandiki vinakusukuma sasa mpaka unataka kujifanya kuwa una uchungu sana na masuala ya Same - jimbo ambalo mama Malecela anafanya kazi sana kuliendeleza at the same time akitetea maslahi ya nchi.

wananchi wa same mashariki hawana rasilimali yoyote ile kama dhahabu,almasi,tanzanite,au gesi. rasilimali na urithi wetu toka kwa mungu ni ardhi na watoto wetu. mwananchi wa kawaida wa same mashariki hajui buzwagi iko wapi au richmond ni nini. hivyo basi elimu kwa watoto wetu ni jambo muhumu na la msingi. tunapolilia elimu ni sawa na nyinyi mnavyolinda dhahabu zetu huko buzwagi na bulyankulu. anayeleta vikwazo katika suala la elimu same mashariki ni adui sawa na wawekezaji matapeli wa buzwagi, bulyankulu,au richmond.

Ubinafsi kama huu hauna nafasi kwenye siasa za Tanzania za milenium mpya

mama kilango ametoa kauli ya kifisadi dhidi ya wapiga kura wake:

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

Hizi sasa ni bangi na hata hazihitaji majibu........
 
wewe ndiye unahitaji kutoa majibu hapa ya kashfa na tuhuma nzito kabisa ulizomtolea huyu mama hapa. Mambo yako kama haya yana nafasi yake kule darhotwire na forums mbofumbofu zingine. Hapa JF hutapewa nafasi ya kutoa majungu na kashfa kwa sababu tu ya chuki zako binafsi.

Nina hitaji majibu kutoka FMES kutoka katika postings zangu zilizopita kwani ameandika uongo kwa kutaka kumfagilia huyu Mama Anna Kilango a.k.a. Anna Malecela a.k.a Anna Nyange. Sidhani kama amekutuma umjibie kwa niaba yake.
Nataka twende hatua kwa hatua.
 
Quote: Masatu
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes

Quote: Masatu

Tatizo lako ni kuwa huna hoja kila kukicha wewe na midata feki tu na kujaribu kutisha watu hapa umefika njoo na kila pumba zako zote utatulia mwenyewe.

Mkuu hoja nzito sana hizi, maana can you imagine kuwa zimeandikwa na mtu mmoja? Masatu, kama una hoja iandike mkuu hapa, kanyaga twende sio hoja ila ni maneno ya kujikomba kwa aliyekukanyaga tayari, sasa kwa sababu alishakukanyaga unategemea iwe kwa kila member hapa, no way mkuu kama una hoja weka hapa mkuu, acha kurukia ya wengine mkuu andika yako, sikujua kuwa tatizo lako ni dataz, kama huna kaa pembeni usome za wengine,

Hapa tunamshangilia Mama Anna Kilango, shujaaa wa taifa mkuu, kama una any hoja against iweke mkuu, hatuhitaji empty lectures zako hapa mkuu, weka hoja kama unazo, otherwise endelea kujificha nyuma ya wengine, sisi huwa tunasimama wenyewe mkuu, sio kusubiri Lunyungu aandike kwanza, ndio urukie aibu hiyo mkuu!
 
JFkatchillin.gif
 
Kama Lowasa ana washauri wazuri ni vema aachie na ubunge pia. Kwa hali ilivyo sasa hivi, itabidi Lowasa awe na ujasiri wa kiibilisi kuweza kusimama bungeni na kuchangia mjadala wowote utakaokuwa unaendelea. Kwa waliomwona siku analalama kabla hajatangaza kuwa amemwomba Rais ajiuzulu, midomo ilimkauka kabisa na kama si Sitta kuingilia kati kumwokoa baada ya Seleli kumtaka athibitshe magazeti ya udaku yaliyotumika kama ushahidi, huyu mzee alikuwa anakwenda kuanguka chini.
Hata hawa wanaompamba sasa hivi kuwa alikuwa hodari na sifa nyingi asizostahili soon wataachana naye.

Mkuu Masatu,

Hii ndio inaitwa hoja, hebu soma vizuri mkuu!
 
Quote: Masatu
The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes

Mkuu hoja nzito sana hizi, maana can you imagine kuwa zimeandikwa na mtu mmoja? Masatu, kama una hoja iandike mkuu hapa, kanyaga twende sio hoja ila ni maneno ya kujikomba kwa aliyekukanyaga tayari, sasa kwa sababu alishakukanyaga unategemea iwe kwa kila member hapa, no way mkuu kama una hoja weka hapa mkuu, acha kurukia ya wengine mkuu andika yako, sikujua kuwa tatizo lako ni dataz, kama huna kaa pembeni usome za wengine,

Hapa tunamshangilia Mama Anna Kilango, shujaaa wa taifa mkuu, kama una any hoja against iweke mkuu, hatuhitaji empty lectures zako hapa mkuu, weka hoja kama unazo, otherwise endelea kujificha nyuma ya wengine, sisi huwa tunasimama wenyewe mkuu, sio kusubiri Lunyungu aandike kwanza, ndio urukie aibu hiyo mkuu!

ES,

Anna Kilango kama mwakilishi katimiza wajibuwake kama mbunge kusema aliyoyasema, hakuna suala la ushujaa wa taifa kwa mtu kutimiza wajibu wake.

I have nothing against her isipokuwa angalizo langu kwako ni kuwa unataka ionekane as if amefanya jambo la ajabu sana wakati yeye akiwa kama mbunge ni wajibu wake kusema yale.

Hoja yangu hapa ni uliposema kuwa eti "ninalamba" nyayo za Lunyungu ndio nataka unionyeshe wapi and how "ninalamba" nyayo za Lunyungu...
 
Mkuu Masatu,

Hii ndio inaitwa hoja, hebu soma vizuri mkuu!

There is nothing there in conjunction of wat we are discussing here, it shows how naive you are, just keep pumping irrelevant stuffs into unrelated thread....
 
Quotes:

The greatest lesson in life is to know that even fools are right sometimes

hakuna suala la ushujaa wa taifa kwa mtu kutimiza wajibu wake.

Kanyaga twende nakuaminia......!
 
Nilikuwa nimekaa nje ya Mjadala huu kwani sikuwa na la kuchangia isipokuwa nitasema yangu machache hapa...

Mkuu Masatu,
Sote tunalifahamu Bunge letu na jinsi linavyofanya kazi Ovyoo na woga wa ajabu, sasa mtu akitokea kufanya wajibu wake kweli hastahili sifa?... Hivi kweli tunaweza sema hata Mwakyembe na kamati yake hawastahili sifa kwa sababu walitimiza wajibu wao kama kamati?....Na inakuwaje tunamsema Hosea hali naye kafanya kazi mbaya chini ya wajibu wake.. where do we draw a line wakuu! ata kama mnapingana na FMES jamani huyu mama mhukumuni yeye na sio kupitia kwa FMES...

Wanabodi wenzangu,
Kinachonishangaza zaidi ni pale watu wanapotumia kusulubiwa kwa Yesu na mfano wa Lowassa yaani inatia kichefuchefu kumlinganisha Yesu na Lowassa ama Lowassa na Yesu... Hata kama ilikuwa joke sidhani kama inaweza pita kooni yaani nashindwa kabisa kuwaelewa Wabongo wanapozidi kumsifia na kumtukuza Lowassa kwa matetezi ya ajabu...Je, hakuna joke nyingine bila kumhusisha Yesu?
 
ES,

Anna Kilango kama mwakilishi katimiza wajibuwake kama mbunge kusema aliyoyasema, hakuna suala la ushujaa wa taifa kwa mtu kutimiza wajibu wake.

I have nothing against her isipokuwa angalizo langu kwako ni kuwa unataka ionekane as if amefanya jambo la ajabu sana wakati yeye akiwa kama mbunge ni wajibu wake kusema yale.

Hoja yangu hapa ni uliposema kuwa eti "ninalamba" nyayo za Lunyungu ndio nataka unionyeshe wapi and how "ninalamba" nyayo za Lunyungu...

Anna Kilango, Anna Kilango, mbona Chegeni hawamtaji? Mbona na yeye yuko CCM na aliwakalia kwenye koo kuhusu hii ishu? Jamaa wengine wa CCM wameing'ang'ania hii ishu lately jinsi siku zinaenda. Hiyo ni kazi yao. Masatu, wasituyeyushe na kampeni yao ya Anna Kilango. She needs to do her job and be consistent with substance, na tutaangalia mpaka uchaguzi ujao.
 
Mkuu Bob,

You are too big na mijadala ya mabully kama kina masatu, wewe mkuu hawa niachie mimi hawa ninakula nao sahani moja, maana wana ile kasumba kuwa mimi sina akili kwa sababu wewe unazo, mkuu usipoteze muda wako, niachie hawa.

Ushujaa wa Mama Kilango, umakubalika na taifa zima, magazeti ya wiki nzima hii yanajisema yenyewe, na hata wananchi humu JF wamelisema hilo na tunamuombea anedelee na moyo huo huo!
 
Back
Top Bottom