BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

[emoji16]
 
Na kuvaa Kama mmasai anaechunga ng'ombe 100 lkn bdo hawajamuona.
 
Sasa kama ni kujilipia ni bonge la hasara yaan daaah[emoji848]
Kwao hizo nauli ni pesa ndogo sana.

Mara nyingi shida yao kubwa huwa ni Visa tu.

Imagine nauli tu ya kwenda South Africa na kurudi ni almost Tsh 600,000.

Pesa hiyo kwetu wengine ni mtaji kabisa ila kuna raia wengine wajinga wajinga tu wanazurula kila siku kwenda huko bondeni na kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…