BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Hata bila siasa asingeshinda. Kwa kipindi husika washindani wake wa karibu wawili wote wana album kali zinapambania Billboard kule. Sasa wampe mshindi hayupo popote kwenye Billboard?
Hakika Mkuu, Burna boy ana mziki safi sana, ni kipaji kikubwa kile na ujumbe mkubwa, hata Obama kuna baadhi ya nyimbo zake alisema anazikubali mno
 
Kama mtu anashindwa kustiri uchi wa rohoni hata akivaa nguo bado ataonekana yuko uchi. Halikadhalika kwa uzalendo.
IMG_20210628_085803.jpg
 
Sisi Tanzania vazi letu Ni lipi?
Atleast la kimasai Ni Kabila Kubwa hapa Tz almost la pili/tatu Kwa ukubwa.
Ulitaka avae suti?kwahyo bora kuvaa vazi la mzungu wa marekani kuliko mmasai wa hapa hapa bongo kisa anapatikana Na Kenya?
Mi naona Ni confidence kubwa aliyoonesha kutangaza uafrica kuliko uzungu
Kwanza Tanzania hatuna vazi maalumu. Pili Masai sio kabila kubwa wala 3 hapa Tanzania pili kumbuka tuna makabila 120 wa masaai wanatumika tu kuvuta watu sababu ni watu fulani wanamila za kipekee na ajabu kidogo. Vazi la kimasai haliwakilishi Tanzania na wala hatuna vai la kitaifa.
 
Alikosea Sana kwenye hlo vaz maana ashazoeleka na suti

Sasa vazi la wenzie anaenda nalo
N Kama yeye ndo mmasai
Dhumuni alikuwa apate spotlight lakini haikuwa kama alivyodhani.
 
Wanaharakati Uchwara "wamemsagia sumu" Baba wanne a.k.a Dangote mpaka kukosa tuzo huko LA. Wanaharakati SI watu wazuri. Rudi nyumbani tujenge Chama Chetu Mujarabu!
Dogo alikaa upande wa dhulma. Ajipange upya bado Mdogo.
 
Ndo ujue sasa Wale ni BET sio NEC. Zile tuhuma zilizoandikwa kwenye petition kule change org si mchezo!. Kamati imekaa, imeona ha-deserve kabisa mpaka ajirekebishe.
 
Kwaiyo wakamsagia hadi wizkid ausio [emoji1787]
 
Kashinda Burna boy ikapigwa background "kilometre" sasa ndugu yetu angeshinda wangepiga background gani? " unataka lala ...awapi tuzime mziki...awapi, kisambulike sambwanda ...sijui nani kachanika musamba..."

Anatakiwa ajivunie tu kuwa nominated inamtosha.
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka
 
Kipandacho hushuka ulishawahi waza? Si miujiza ni asili inawashangaza.../

Wasahaulifu walimwengu ilitangazwa, wata taja mashujaa na jina lake halita tajwa.../
People hate hate what they can't qoncure,fear what they don't understand.
Kwanini unataka,unasubili ashuke?
Mond kupata ukwasi(mkwanja mrefu)sio sababu ya wewe kukosa,
Watu wengi wanaonesha chuki kwa mtoto wa Tandale,ukichunguza sana,hawamchukii yeye kama Mond,wanatamani wawe kwenye nafasi yake hapo alipo,mijumba mikali,ndinga za kutosha za bei mbaya,pesa ndeefu,
Totos za kumwaga,sasa kwa vile hawawezi kuwa pale alipo,chuki inawajaa vifuani,
Sasa unajiuliza Mond kakosa tuzo,wewe unashangilia!unapata faida gani?unaishi kwenye chumba master Cha kupanga,na ka ajira kenye kipato hakifiki hata 1M!
Mwenzio anaishi Mbezi,katoa ajira kwa watu kibao,wanaovuta kuanzia 2M kwenda mbele,mtu kama huyu ukimchukia,kwanza sio jirani yako,huwezi kukutana nae popote,wewe ukila wali nyama wa buku 5,unaona bei kubwa!
Mwenzio anakula soda ya buku 10!
Ukimchukia,lazima utakuwa na matatizo ya akili.
 
Cadillac Escalade for life
 
Back
Top Bottom