BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Ushamba ni mwingi mno..
Mtu anatukuzwa kwa kuandikwa kwenye page za udaku..
Yaani msanii wa Tanzania akiandikwa hata kwenye page kama TZshaderoom ni achievement ya kujitapia..

Sisi ushamba ni mkubwa sana..
Ni aibu mkuu, kuna watu wapo busy kujirekodi huku wakikata mauno na kumtumia yule dada
 
Mwenye highest ni Burnaboy kwa Grammy. Sasa kwa nini wampe tena BET wakati Wiz ana album kali tu? Na kama hawamfagilii ni kwa nini walim nominate?
Wizkid kapokea grammy pia hata kama ni ya feature. Wana
Kabisa,naijeria ni level zingine kabisa na wanajua mno ndio maana hata mondi kuwekwa kipimo kimoja na wao ni hatua kubwa sana. Burna boy anajua tangu kitambo sana sema watu wamemjua miaka ya hivi karibuni ila binafsi nilimfahamu toka 2009/2010 alipotoaga ngoma ya Like to party na ni bonge la ngoma bongo hadi leo tunasubiri kwa ile ngoma. Sasa huyu maria na akili yake ya kiazi anajua yeye ndo kaweka kigingi kwa mondi
Hapa umepuyanga, like to party ilitoka 2013 nakumbuka nilikua form 5. Ila afadhali burna amesikika maana hadi tekno alikuja baada yake na kublow mapema tu
 
Back
Top Bottom