BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Ushamba ni kutaka kuiga iga kila linalo fanywa na jirani.kwan hao wa nigeria ndo wa nani ?

Acha ushamba
 
Kumbe ni research yako tena ndogo tu , basi sawa
 
𝓣𝓾𝓻𝓸𝓰𝓮 ᗷᗩՏI 𝗸𝗮𝗺𝗮 ᵛⁱᵖⁱ
 
Kwa hiyo sie tunaoshi shamba ndio kusema hatujui lolote kwa mantiki hiyo si ndio? Acheni udwanzi nyie, kukaa shamba na kutokujua chochote vinauhusiano gani... futeni hilo neno shamba apo
 
Siyo swala la Kuwaiga tumekua Na hamasa sana Kwa vitu ambavyo Kwa mataifa mengine ni vitu vya kawaida sana
Mkuu wala usipate shida saana. Sisi ni moja kati ya nchi masikini kabisa duniani, na asilimia kubwa ya nchi yetu ni mashamba! Kwahiyo sisi na ushamba ni kama pipa na mfuniko wala hamna cha kushangaza.
 
Hahaaa uo uongo...
 
Nasikia huko watu wanabishana mpaka maofisini

Ova
 
Back
Top Bottom