BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Huyu mwanaharakati amejidhihirisha yeye ni kichwa panzi kabisa kwenye kampeni za hivi karibuni za BET. Na post yake baada ya burnaboy kuchukua tuzo inajidhirisha hana upeo hata kidogo. Anataka mondi abadili meneja ili apewe yeye? Anajua vizingiti walivyopitia hao mameneja baada ya fitna ya miaka yote ya upende wa clouds na washirika? Hajui roho ya paka ya hao mameneja ndio na leo mondi anawakilisha ipasavyo? Kiufupi hajielewi anachotamani kuona ni kuwa mondi anaanguka. Nilikua namheshimu huyu mwanaharakati kumbe hamna kitu kabisa.

View attachment 1833616

View attachment 1833617
Wakati anamponda magu mlishangilia....
sshv anapondwa domo mnalia lia....
 
mpira...siasa...muziki siasa...yaani zile burudani tamu zinabebwa na siasa...so it means maisha nayo ni SIASA....
 
Kilichosababisha afeli mara ya kwanza na ya pili ni nini ilhali alikua na support ya wote.?? Hao watu mi naona kama hawajielewi aisee sijui kwanini hizi tuzo wamezipeleke kwenye mlengo wa kisiasa.
Nigeria wametuacha kimuziki hata hiyo ya diamond kua upande fulani sio sababu kabisa.
Kabisa,naijeria ni level zingine kabisa na wanajua mno ndio maana hata mondi kuwekwa kipimo kimoja na wao ni hatua kubwa sana. Burna boy anajua tangu kitambo sana sema watu wamemjua miaka ya hivi karibuni ila binafsi nilimfahamu toka 2009/2010 alipotoaga ngoma ya Like to party na ni bonge la ngoma bongo hadi leo tunasubiri kwa ile ngoma. Sasa huyu maria na akili yake ya kiazi anajua yeye ndo kaweka kigingi kwa mondi
 
Hawaelewi mkuu, ni vizuri akakomaa na sehemu aliyoizoea na kuielewa zaidi. Sio ivo tu burna boy, wizkid na davido wote hao wana connection kubwa marekani tofauti na Diamond.

Ndio maana tunasema jamaa kuwekwa kwenye ile category ni hatua kubwa, imagine Afrika mashariki na kati yupo yeye tu. Aisee watu hawafikirii nje ya box yani.
 
Sasa mnalia nini ?
Nani analia, tunachosema ni kwamba shangazi yenu ni kiazi na aendelee na harakati zake za siasa ambazo tulimuona anaupeo kidogo. Hata wewe kwa comment mbili tu kwenye huu uzi zimekushusha bora ungepita kimya maana umeongea mondi alikuomba kura kitu kinachodhihirisha pia huwa unarukia mambo kiushabiki na sio kiuhalisia
 
Sasa mnalialia nini nyie chawa ? Imeandikwa vitabuni kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti , endeleeni kushirikiana na wauaji
 
Huyu kulakulala kwa kodi za Baba zetu na nyumba za serikali mpaka furniture,jiwe alivyoingia tenda ya kupamba sherehe za serikali ikaondolewa akaanza chuki binafsi leo hii k yake inawasha anataka kumfundisha mtu aliyifanikiwa kwa bidii zake za uswazi kampe maku yako iwe management kavipi.
 
Sasa mnalialia nini nyie chawa ? Imeandikwa vitabuni kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti , endeleeni kushirikiana na wauaji
Upeo wako kupambanua mambo nje ya ushabiki wa kisiasa ni mdogo sawa na wa huyo shangazi yenu
 
Wamasai wapo Hadi japani na sio wabantu mkuu ili aonekane mswahili labda angevaa kama wale wa MBEYA wasafwa
Hata wasukuma mbona WaPo mpaka Marekani.
Ishu Ni origin Shekh..
Halafu kimakabila Tanzania sio sehemu ya wabantu Tu Kuna wanailoti Na wakush pia.
Na ukisema origin ya wamasai sio bongo Ni Ethiopia ntakuambia hata origin ya wabantu Ni west africa mbona
 
Nimefanya research yangu ndogo toka tuzo izi za BET nomination zitoke sijaona nominees hawa wa nigeria [emoji1184] ku post au kufanya campaign za kuomba kupigiwa kura kwenye account za social media zao ,na Burna boy hata baada ya kushinda hajapost chochote kuhusiana na tuzo lakini bongo ndio imekua story leo ,diamond kashindwa then analeta statement kuhusu tuzo wakati aliyeshinda kakaa kimya,nahisi kwetu sisi ushamba umekua mwingi sana nigeria walianza kutengeneza ma mastaa toka kitambo sana kuanzia kwenye tasnia ya mpira,walitoa watu walioitikisa dunia ndio maana kwao mambo madogo ivi siyo story kabisa .mdgo mdgo tutazoea
 
Back
Top Bottom