playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Umeamua kujifariji sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kujifariji sasa
Sio kweli mkuu nyie mashabiki wake mna kelele Sana ndo sababu ya yeye kushindwaWatu wana roho mbaya sana.
Mimi hapo ndio nimeona kachemka sababu sisi wa Tanzania sio vazi letu ila la wamasai tu kama kabila hata Kenya wanavaa nadhani hakushauriwa vizuri unaona hata anaingia pale hakuna wala aliyemshobokea mimi nadhani bado tuna safari ndefu.Nilikuwa simpendi Sadala lakini alivyovaa kimasai nimemkubali Sana mpaka nimetamani angechukua kombe
Kweli. Ingekiwa mondi vs wizkidayo angeshinda wiz. Mondi hawezi kutoa album kama ya wiz. Si kwa ma produza wa bongo.Burna kwa sasa anaushawishi
Hata diamond angebaki na wizkidayo bado angeambulia patupu.
Sisi Tanzania vazi letu Ni lipi?Mimi hapo ndio nimeona kachemka sababu sisi wa Tanzania sio vazi letu ila la wamasai tu kama kabila hata Kenya wanavaa nadhani hakushauriwa vizuri unaona hata anaingia pale hakuna wala aliyemshobokea mimi nadhani bado tuna safari ndefu.
Yametimia...Hi inaenda kwa burnaboy huyo mondi hachukui ng'oo.
Kuna tofauti kati ya kutomuunga mkono na kufurahia yeye kushindwa, tunaishi na haters hata ndani ya familia zetu.Haijawai tokea eti watu wote wakuunge mkono. Yeye apambane tu,kwani ni kwa faida yake na familia yake. Sisi tusiomuunga mkono acha tuendelee kwani hatumpunguzii chochote nasi hatotuongezea chochote tukimuunga mkono.
Kashinda Burna boy ikapigwa background "kilometre" sasa ndugu yetu angeshinda wangepiga background gani? " unataka lala ...awapi tuzime mziki...awapi, kisambulike sambwanda ...sijui nani kachanika musamba..."Japo tumepigwa ila Taifa linajivunia kijana mwenzetu kutuwakilisha vyema kimuziki mpaka mavazi(appearance) [emoji8]
Mwanzo mzuri, tuombee na wengine waione njia.[emoji1488]
Mimi sio shabiki mkuu. Nasema tu vile watu wanafurahi kushindwa kwa jamaaSio kweli mkuu nyie mashabiki wake mna kelele Sana ndo sababu ya yeye kushindwa
Kweli. Ingekiwa mondi vs wizkidayo angeshinda wiz. Mondi hawezi kutoa album kama ya wiz. Si kwa ma produza wa bongo.
Alikosea Sana kwenye hlo vaz maana ashazoeleka na sutiMimi hapo ndio nimeona kachemka sababu sisi wa Tanzania sio vazi letu ila la wamasai tu kama kabila hata Kenya wanavaa nadhani hakushauriwa vizuri unaona hata anaingia pale hakuna wala aliyemshobokea mimi nadhani bado tuna safari ndefu.
Hata bila siasa asingeshinda. Kwa kipindi husika washindani wake wa karibu wawili wote wana album kali zinapambania Billboard kule. Sasa wampe mshindi hayupo popote kwenye Billboard?huwezi kushindana na sisi,Magu mwenyewe alitushindwa. Next time uwe mnyenyekevu