BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Hivi tulitegemea Sadala Apate Hyo Tuzo? Wenzetu Wamewekeza Sana ndg zangu, Just Imagine Burna Boy, anashuka USA anaenda Kuonana na Kuongea Na Producer na Mwanamuziki mKubwa Duniani P'didy, Ajipange Upya Ingawa Hata Kuwa Nominated tu Ni Big Step Kwake
 
aiseee kwa huu mkeka Diamond hatoboi
Muda utasema, Yamebakia masaa machache
1624851610018.png
 
Kuna furaha na vigeregere vimerindima kwa baadhi ya Watanzania, hii inanikumbusha familia zetu pale baadhi ya ndugu hujawa na furaha one family member ambaye alikuwa njema mambo yakimharibikia na hiyo furaha hujumuisha hata kwa wale aliowainua.
Uchawi si mpaka kuruka uchi usiku, kuwa nominee ndiyo level yake kwa sasa hivyo aongeze bidii na maarifa hasa maarifa ili azidi kusonga mbele.
Dogo endelea kupambana, nimekumbuka title ya movie moja 'Get rich or die trying' nathani ndiyo fighting spirit inayostahili.
 
Kuna kaswali flali like:
'sasa itakuwaje?'

Big Up Mondi kuwalikisha. Nilidhali this time around Wizkid wangempa au mwingine ila si Burna
 
Awesome. Kura yangu imeenda sehemu salama. Haya Sadala rudi uje upokee misimu ya Samia ukiwa stejini huko ngangaikoko. Yani wewe tuzo utachukua labda itokee Chimwaga complex.
Mkuu uliwahi kutoka hadharani kufanya mambo ya kimapinduzi? Kama YES, respect kwako.
Kama NO, uliogopa ukabaki na ID feki nyuma ya VPN, ukipigania ugali wako, usalama wako na familia yako, ujue wengi, labda ikiwemo Mondi walifanya hivyo.
 
Kuna kaswali flali like:
'sasa itakuwaje?'

Big Up Mondi kuwalikisha. Nilidhali this time around Wizkid wangempa au mwingine ila si Burna
Wizkid muda wake ushapita,ana bet awards mbili tayari ya 2012 na 2017, pia wizkid alishawachambaga BET so hawamfagilii
 
Kuna furaha na vigeregere vimerindima kwa baadhi ya Watanzania, hii inanikumbusha familia zetu pale baadhi ya ndugu hujawa na furaha one family member ambaye alikuwa njema mambo yakimharibikia na hiyo furaha hujumuisha hata kwa wale aliowainua.
Uchawi si mpaka kuruka uchi usiku, kuwa nominee ndiyo level yake kwa sasa hivyo aongeze bidii na maarifa hasa maarifa ili azidi kusonga mbele.
Dogo endelea kupambana, nimekumbuka title ya movie moja 'Get rich or die trying' nathani ndiyo fighting spirit inayostahili.
Haijawai tokea eti watu wote wakuunge mkono. Yeye apambane tu,kwani ni kwa faida yake na familia yake. Sisi tusiomuunga mkono acha tuendelee kwani hatumpunguzii chochote nasi hatotuongezea chochote tukimuunga mkono.
 
Wizkid muda wake ushapita,ana bet awards mbili tayari ya 2012 na 2017, pia wizkid alishawachambaga BET so hawamfagilii
Mwenye highest ni Burnaboy kwa Grammy. Sasa kwa nini wampe tena BET wakati Wiz ana album kali tu? Na kama hawamfagilii ni kwa nini walim nominate?
 
Back
Top Bottom