BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Shida ilianzia pale mlipo anza kuwaaminisha watanzania kuwa kuweka kwenu hashtag ndio kura nyingi na ndio zina amua mshindi..........kwa hiyo wanafikiri Diamond kakosa tuzo kwakuwa kuna watanzania hawajampigia kura;;;;;;;;
Kwa ile list DIAMOND asingelitoboa kabisa na sijui ni vigezo gani vingelitumika kumshinda burna au wizkid....................
Diamond alistahili kushindwa
 
Bwaaaaaaaabwaaaaaabwaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2].Alisikika hater mmoja hivi.
 
Awesome. Kura yangu imeenda sehemu salama. Haya Sadala rudi uje upokee misimu ya Samia ukiwa stejini huko ngangaikoko. Yani wewe tuzo utachukua labda itokee Chimwaga complex.
 
Back
Top Bottom