BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya watanzania na waafrika kwa ujumla yapo kwenye kipengele kigumu kinachowakutanisha miamba ya Afrika Diamond ni Sadala mzee wa Uber,WizKid na Burna Boy.

Stay tuned!!

Tangu lini Goba kukawa Marekani?
 
Watu wanasahau au ni kweli hawajui?

Wanasema Diamond kuingia tu pale ni mafanikio.

Hivi wanajua kama Diamond kashawahi shiriki BET category hii hii? Na wimbo alioupeleka ulikua Kesho?

Nakumbuka alishinda Davido, ambapo baada ya pale akaenda Nigeria akahudhuria harusi ya P Square akiwa na suruali ya mistari ya rangi nyeusi na nyeupe. Watu wakasema hakua na kadi alitumia kadi ya Davido iliyoandikwa Mr & Mrs.

Kama unakumbuka kuna kipindi zilitoka jeans za mistari nyeusi na nyeupe au bluu na nyeupe hizo jeans zilikua influenced na yeye alivyovaa hiyo siku.

So alishahudhuria yeye mwenyewe anaelewa anachohitaji ni ushindi na siyo kuishia kwenye nomination.
Pia alishashiriki tena nadhani ni kama miaka mitatu iliyopita na mshindi akawa black coffee kutoka South Africa..wabongo wakamcheka sana,leo hii inakuwa ni mara ya tatu.
 
Back
Top Bottom