BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Akili za masikini ni kujifananisha na tajiri katika ulimwengu wa ndoto ili kujifariji. Kuweka ligi na aliyekuzidi ni upumbavu, njia rahisi ni kuungane nae akufundishe njia ya kuwa Kama yeye. Iko wazi Nasibu alipofikia hata ipigwe kampeni ya nchi nzima kumshusha itabaki kuwa ndoto. Kijana kwasasa soko la mziki wake linawigo mpana sana Afrika na Dunia kwa ujumla. Hizi kampeni za lugha ya kiswahili haziwezi zaa matunda kabisa na sioni mantiki yake. Ukiwauliza ni hasa mpaka iwe hivi hawana majibi sahihi.
 
Domokaya hawezi kuchukua hii tuzo, labda dunia igeuke anga chini, ardhi juu.
 
Akichukua itakuwa vyema zaidi pía asipochukua bado inamuweka ktk ramani na soko kubwa kimuziki, pía kuiweka nchi yetu na wasanii wengne waTz ktk kuchomoza kimataifa

Tukumbuke tu kuwa ktk tuzo hizi ni yeye pekee aliechomoza ktk ukanda wa Afrika Mashariki na kati

Hvyo anakuwa ni icon kutoka Tz na ktk ukanda huu wa EA
 
Pia ni mmoja kati ya wasanii watatu kutoka Africa walioingia katika nominiz.
 
Akichukua itakuwa vyema zaidi pía asipochukua bado inamuweka ktk ramani na soko kubwa kimuziki, pía kuiweka nchi yetu na wasanii wengne waTz ktk kuchomoza kimataifa

Tukumbuke tu kuwa ktk tuzo hizi ni yeye pekee aliechomoza ktk ukanda wa Afrika Mashariki na kati

Hvyo anakuwa ni icon kutoka Tz na ktk ukanda huu wa EA
Mbna mnajifariji sana nyie chawa wa domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni kwa kuteseka, na mkiwa wapi? Khaaaah
 
Back
Top Bottom