BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

kipandacho hushuka ulishawahi waza? Si miujiza ni asili inawashangaza.../

wasahaulifu walimwengu ilitangazwa, wata taja mashujaa na jina lake halita tajwa.../
Almasi, jamaa aliandika ila ilikuwa vbaya kwa mtu aliyemlenga,
Alichokiandika mpaka sasa siuoni uhalisia.
 
Ule ni utabiri kulingana na life style ya mchizi, akimhusia abadilike ili siku za mbeleni yasitokee aliyoyaona

Kipindi ambacho taswira yako ipo gado, ndio kipindi cha kulikata shauri lako.../

Kutambua nafasi na thamani ya sauti yako, kutambua dhamana mwanzoni kabla ya mauti yako.../

Dhamana yako ni zaidi ya kula na kupiga pamba kali, kununua chupa na bupa ukizilaza chali.../

Jina kubwa likikufumba ushindwe kutafakari, utakufa maskini ukizubaa kuzichanga mali.../

Usije sahau maisha yako halisi, yanayolingana na kipato chako thabiti.../

Usije kufa kipindi ambacho michango haikidhi, haitoshi hata nyumba ya mama yako kibiti.../
 
unaitwaje huu wimbo na kaimba nani?
 
Jamaa ni mzuri katika uandishi, lakini pale alibugi kutokana na kwamba aliimba kwa kumfikilia mtu vle anavyo mzania( magazeti yanavyomuandika) na si maisha halisi na mipango ya mtu.
Jamaa anamanyumba, magari na uwekezaji wa kutosha
 
Ule ni utabiri kulingana na life style ya mchizi, akimhusia abadilike ili siku za mbeleni yasitokee aliyoyaona

Kipindi ambacho taswira yako ipo gado, ndio kipindi cha kulikata shauri lako.../

Kutambua nafasi na thamani ya sauti yako, kutambua dhamana mwanzoni kabla ya mauti yako.../

Dhamana yako ni zaidi ya kula na kupiga pamba kali, kununua chupa na bupa ukizilaza chali.../

Jina kubwa likikufumba ushindwe kutafakari, utakufa maskini ukizubaa kuzichanga mali.../

Usije sahau maisha yako halisi, yanayolingana na kipato chako thabiti.../

Usije kufa kipindi ambacho michango haikidhi, haitoshi hata nyumba ya mama yako kibiti.../
ngoma gani hii mkuu
 
Back
Top Bottom