Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kusema ukweli tokea Lissu arudi, anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupunguza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
CHADEMA anzisheni YouTube Channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .