Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.Ndiyo maana nasema akili zako ni zero! Endelea kuona wakimsifia. Besides, huyo anayemaifia kama siyo mlamba viatu basi anaogopa udikteta wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.Ndiyo maana nasema akili zako ni zero! Endelea kuona wakimsifia. Besides, huyo anayemaifia kama siyo mlamba viatu basi anaogopa udikteta wake!
Acha unafikiSasa soma hapo juu nilichokiandika kisha niambie between you and me who suppose to go back to MMU.
Sijamtaja mgombea anayewataja wengine mwanzo mwisho. Nimetoa general comment ambayo inaweza hata kumhusu mgombe ubunge anayewataja wagombea wengine pasipo kunadi sera.
Mkuu look at the big picture.Ila Hassan Abbas atalipia huu ushenzi anaofanya. Lazima tuseme naye! Na ili heshima iwepo tutaanza naye na kumbuka kuwa tumeshajiapiza kufa na kila muhuni!
Ndio hapo sasa.Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.
Tuwe tayari kupokea mawazo yaliyo tofauti na yetu..Acha unafiki
Wanaogopa nini?!Kusema ukweli tokea Lissu arudi,anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital Kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupungunza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
Chadema anzisheni YouTube channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .
Naungana na wewe kwa 100%.Kwa sasa binasfi sitegemei na wala sijihangaishi kufuatilia matukio ya Chadema kwenye vyombo hivi vya habari.Vimekuwa vyombo vya habari vya kijinga sana.
Kama anaetajwa jina wanamuongelea ukweli hakuna ubaya ndio siasa.Hapo shida ndipo inapoanzia.
Hata ofisi kwako wewe kama umeajiriwa/ umeajiri hakuna personal attack ila hapa unaitetea.
Well said mkuu.Pia CHAUMA, ACT , DEMOKRASIA MAKINI na CUF wasisahau ushauri huu.
Ila siasa za kuanza kutaja mtu au watu mwanzo mwisho sio nzuri. Uza sera unaenda kutufanyia nini. Au wewe shida yako kujifanya unajua kuyafanya vizuri anayoyafanya unaemtaja?
Yapo mengi ya kusema kwenye kampeni zaidi ya kuanza kutukana na kuwataja watu.
Umeona midomo mliyonayo inavyonuka? Alafu mnashangaa hakuna anayethubutu kuwarusha live? 🤮Unajielewa kweli wewe? Unajua maana ya chombo cha habari au unaharisha tu hapa? Millard siyo mtumishi wa ccm anapaswa kuwa mwandishi huru asiyependelea upande.
Wawe wanaitangaza walau watu tujue wapi tutapata habari bila kukatizakatiza
Media wanatakiwa wawe neutral unless wanamilikiwa CCM. Ipo wazi kuwa hawamilikiwi na CCM ila wanaogopa utawala wa JPM.Na hii siyo uelekeo mzuri kwa taifa. Wananchi wanatakiwa wapate habari za Chadema kama wanavyopata za CCM ,wao ndo watachambua mbovu na mbivu.Sasa soma hapo juu nilichokiandika kisha niambie between you and me who suppose to go back to MMU.
Sijamtaja mgombea anayewataja wengine mwanzo mwisho. Nimetoa general comment ambayo inaweza hata kumhusu mgombe ubunge anayewataja wagombea wengine pasipo kunadi sera.
Wacha uongo labda hufahamu You tube wamavyolipa au wanavyofanya kazi zao. Huyu kijana Millard Ayo anajitahidi sana na hakuna anachoweza kufanya bali kutumia fursa ili atoke kidedea. Inaonekana mnamwonea gere. Mijitu mikubwa zero brain, nyie mnazokula kutoka kwa walipa kodi nani anawapigia kelele? Mwaka huu ile ruzuku mliyokuwa mnaipata hamtaweza kuifikia come rain come sunshine...hizi media zinajipeleka zenyewe kwa ccm.
Msiwe mnapost kabla ya kufanya research.Kusema ukweli tokea Lissu arudi,anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital Kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupungunza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
Chadema anzisheni YouTube channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .
Mara nyingi siasa zikitawaliwa na personal attacks mabaya ni mengi kuliko faida mkuu.Kama anaetajwa jina wanamuongelea ukweli hakuna ubaya ndio siasa.