Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatakiwa na nani au na nini kuwa neutral?Media wanatakiwa wawe neutral unless wanamilikiwa CCM. Ipo wazi kuwa hawamilikiwi na CCM ila wanaogopa utawala wa JPM.Na hii siyo uelekeo mzuri kwa taifa. Wananchi wanatakiwa wapate habari za Chadema kama wanavyopata za CCM ,wao ndo watachambua mbovu na mbivu.
Jogoo kawika ndio mnakumbuka shuka, khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeVifaa vinavyohitajika (camera 1 pekee)
1. Camera yenye tundu la sdi out.
2. Wireless mic ya camera.
3. Audio cable ya kuchukua sauti kutoka kwenye mixer hii ni ya kwenye events kubwa.
4. Sdi cable.
5. Live U solo (kifaa cha kurushia matangazo)
6. Modem ya 4g
7. Line ya 4g yenye bando.
Kama mnataka kuruka kwa zaidi ya camera moja. (Multicam livestream) hasa kwenye kampeni.
Vifaa ni
1. Camera zenye sdi out (2 na zaidi)
2. Wireless hdmi adapter(hii ni ya kulink camera na video switcher wireless, kuepuka nyaya kukanyagwa na watu au kukatika kwa nyaya) idadi inategemea na idadi ya camera.
3. Video switcher kama blackmagic atem hd, au roland hd switcher, atem mini pro. Ila blackmagic atem hd ni bora zaidi.
4. Preview monitor kwa ajili ya kuswitch camera.( inaweza kununuliwa hata tv ya kichina ndogo inatosha)
5. live u solo
6. Radio call za kuwasiliana kati ya mpiga picha na mtu wa kurusha matangazo. Zile earphone zinazopita nyuma ya kichwa.
7. Modem ya 4g
8. Line ya 4g yenye bando la kutosha.
9. Laptop yenye graphic card nzuri hasa gaming laptop ram iwe kati ya 8gb mpaka 16gb. Haswa alienware.
Hivi vinunuliwe fasta kabla ya kampeni. Wahusika watumie kufanya nayo mazoezi.
Nawasilisha.ii
Wacha uongo labda hufahamu You tube wamavyolipa au wanavyofanya kazi zao. Huyu kijana Millard Ayo anajitahidi sana na hakuna anachoweza kufanya bali kutumia fursa ili atoke kidedea. Inaonekana mnamwonea gere. Mijitu mikubwa zero brain, nyie mnazokula kutoka kwa walipa kodi nani anawapigia kelele? Mwaka huu ile ruzuku mliyokuwa mnaipata hamtaweza kuifikia come rain come sunshine.
Wauze gari mojaKusema ukweli tokea Lissu arudi,anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital Kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupungunza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
Chadema anzisheni YouTube channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .
Kuna wakati ukweli tunabaki nao kama ukweli. Nikuambie kuwa mwaka 2015 nilimkata Magufuli huku roho yangu ikinisuta sana kwa Lowassa kwakuwa Magufuli aliongea sana kuaminisha umma kuwa ana jali na hana ubaguzi. Kiukweli nilikuwa namkata huku roho yangu inaumia. But nashukuru Mungu amemfunua ameonekana alivyo 100% na nimejikuta namchukia sana sana sana! Sina sababu nyingine ila zaidi ya matendo mabaya sana yaliyotokea ndani ya utawala wake wa miaka 5.Wale wale asiye na mtazamo kama wako. Hana akili.
Ni kweli.. promo zero.. ila hata leo walikua.live.
Pia waongeze ujuzi kwa kuajiri vijana creative zaidi..
Basi hawaitilii maanani. Na walitakiwa wawe nazo zaidi ya moja. CCM wana Channel 10,Ikulu mawasiliano,TBC. Sasa ukijumlisha na kina Global,Mwananchi,Millard Ayo,Azam,ITV n.kMsiwe mnapost kabla ya kufanya research.
Chadema wana online Tv na ipo muda mrefu sana, ila hadi leo subscribers aapo 1112 .
Tatizo sio online tv, bali chadema wenyewe. Wanajinasibu sana kufanikiwa kwenye mitandao ila hali uhalisia haupo hivyoView attachment 1531224
Pia CHAUMA, ACT , DEMOKRASIA MAKINI na CUF wasisahau ushauri huu.
Ila siasa za kuanza kutaja mtu au watu mwanzo mwisho sio nzuri. Uza sera unaenda kutufanyia nini. Au wewe shida yako kujifanya unajua kuyafanya vizuri anayoyafanya unaemtaja?
Yapo mengi ya kusema kwenye kampeni zaidi ya kuanza kutukana na kuwataja watu.
Absolutely, nyie anayetajirika ni mlevi wa konyagi peke yake na ukoo wake...naelewa.
..fursa ziko ccm.
Magufuli anatukana watu sana tu. Lakini hafinyiwi sauti, cheo chake kinambeba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni kweli kabisa, Inashangaza kama Chadema hawajafikiria na kufanya kitu kama hichi! Ni muhimu sana wapinzani wawe na vyombo vyao vya kijitangaza wenyewe!Kusema ukweli tokea Lissu arudi,anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital Kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupungunza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
Chadema anzisheni YouTube channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .
Wanatakiwa na nani au na nini kuwa neutral?
CNN ya Marekani, kwa mfano, ipo neutral?
Kabisa huu muda ni kuhakikisha Lissu anakuwa Popular na kuuzika kwa sera zao. Na wayaseme matatizo ya Mukulu live bila chenga.Hili ni kweli kabisa, Inashangaza kama Chadema hawajafikiria na kufanya kitu kama hichi! Ni muhimu sana wapinzani wawe na vyombo vyao vya kijitangaza wenyewe!
Mbona imekaa kizembe hivi kama ipo?Ipo chadema media TV
Ushauri mzuri sana.Kusema ukweli tokea Lissu arudi,anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital Kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupungunza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani habari ya Lissu sauti haisikiki kabisa na mwisho wakastop kabisa kuonyesha.
Ila Millard Ayo hiyo hiyo walionyesha Uchaguzi UVCCM sauti ilikuwa fresh tu.
Jamani eeeeh mwenye macho haambiwi tazama.
Chadema anzisheni YouTube channels nunueni vifaa kama hamna hela semeni tuwachangie. Na muajiri watu kwa kazi hiyo.
Kitengo cha mawasiliano CHADEMA amkeni huu muda wa mapambano acheni kulalamika wale kina Milard Ayo wanaogopa .
Ni mwendawazimu pekee ndo atampa airtime huyo mropokaji anayetangazia ulimwengu kwamba Tanzania watu mitaani wanakufa kwa korona.Naungana na wewe kwa 100%.Kwa sasa binasfi sitegemei na wala sijihangaishi kufuatilia matukio ya Chadema kwenye vyombo hivi vya habari.Vimekuwa vyombo vya habari vya kijinga sana.
Keyboard warriorIla Hassan Abbas atalipia huu ushenzi anaofanya. Lazima tuseme naye! Na ili heshima iwepo tutaanza naye na kumbuka kuwa tumeshajiapiza kufa na kila muhuni!
Basi hawaitilii maanani. Na walitakiwa wawe nazo zaidi ya moja. CCM wana Channel 10,Ikulu mawasiliano,TBC. Sasa ukijumlisha na kina Global,Mwananchi,Millard Ayo,Azam,ITV n.k