Mkuu wangu JokaKuu juzi niliandika sana kuhusu makosa ya upinzani kuwekeza zaidi kwenye usafiri badala ya kuwekeza kwenye media hasa conventional media na contemproray (digital) media.
Wakatokea watu wenye mahaba na kupondea wazo langu na kusifia Ford Rangers, sasa ukweli wakati wote unajidhihirisha.
Huwezi kuwafikia watu milioni 8 hadi 20 kwa usafiri wa gari kwa siku 60 hadi 90 lakini unaweza kuwafikia watu milioni 50 kwa redio na kwa TV pungufu kidogo ya hapo.
Hili ni somo jingine litasaidia siku za usoni, but I thought opposition had a 'Hail Mary pass' this time around. Very unfortunate the pass has fallen short because we have people who didn't prepare themselves for the big and rare moment, couldn't capitalize the situation.
..I totally agree with you.
..idara ya habari na PR ya CDM imedumaa sana.
..hata matukio wanayorusha wanafanya hovyo-hovyo tu.
..Inawezekana hii kazi inafanywa na watu ambao wana majukumu mengine, na hili la kupasha habari wananchi ni ziada.