Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Media wanatakiwa wawe neutral unless wanamilikiwa CCM. Ipo wazi kuwa hawamilikiwi na CCM ila wanaogopa utawala wa JPM.Na hii siyo uelekeo mzuri kwa taifa. Wananchi wanatakiwa wapate habari za Chadema kama wanavyopata za CCM ,wao ndo watachambua mbovu na mbivu.
Hilo wala sipingi...MwanaHalisi na Tanzania Daima walikuwa pro-upinzani, lakini sasa hivi wamefungiwa.
..vyombo vilivyoachiwa kufanya kazi ni vile ambavyo ni pro-ccm tu, hicho ndicho watu wanakilalamikia.
Jibu lipo wazi. Sababu kubwa ni wanaogopa Magufuli.Now you are talking.
Hili binafsi nakubaliana nalo kabisa...lakini tujiulize tunamajibu ya uhakika kwanini hawajareport habari za CHADEMA?
Ukitoa jibu moja linalovutia upande wako ili ujifanye victim utakuwa unakosea. Hapa ndipo shida ilipo.
Ushauri wako ni mzuri kabisa, CDM (na sio CDM tu tuna vyama kibao tunataka kusikia habari zao) wafungue chombo chao kitakachowafikishia wananchi kila walifanyalo. Kama alivyofanya Diamond.
Kwa hiyo Wananchi hawajui kwamba lissu kachukua form Leo?Media wanatakiwa wawe neutral unless wanamilikiwa CCM. Ipo wazi kuwa hawamilikiwi na CCM ila wanaogopa utawala wa JPM.Na hii siyo uelekeo mzuri kwa taifa. Wananchi wanatakiwa wapate habari za Chadema kama wanavyopata za CCM ,wao ndo watachambua mbovu na mbivu.
Unajifanya unajuwa wakati hujuwi.Ni mwendawazimu pekee ndo atampa airtime huyo mropokaji anayetangazia ulimwengu kwamba Tanzania watu mitaani wanakufa kwa korona.
Kwa kuanzia wanunue page kwenye blogs za nyumbani.Shida ni habari zifikie Wananchi.
Wale mbona hotuba za Mbowe walionyesha bila tatizo. Ilipofikia Lissu wakawa wanafinya sauti na kukata kabisa. Baadae wanaachia.Hapo unaweza kuona kuwa wapo tayari kutoa habari tatizo wanaogopa.Hilo wala sipingi.
Vyombo pekee vya habari ambavyo labda vinapaswa kuwa ‘neutral’ ni vile vya umma tu.
Lakini hivi vya binafsi, vina haki ya kuwa na mrengo wowote ule viutakavyo.
Vibaya ni ile kujifanya uko neutral ilhali ni uongo, kama ilivyo kwa CNN siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... tulieni dawa iwaingie.Unajifanya unajuwa wakati hujuwi.
Naam!Wale mbona hotuba za Mbowe walionyesha bila tatizo. Ilipofikia Lissu wakawa wanafinya sauti na kukata kabisa. Baadae wanaachia.Hapo unaweza kuona kuwa wapo tayari kutoa habari tatizo wanaogopa.
Hapo ndio kura yako itakapoharibika.Kuna wakati ukweli tunabaki nao kama ukweli. Nikuambie kuwa mwaka 2015 nilimkata Magufuli huku roho yangu ikinisuta sana kwa Lowassa kwakuwa Magufuli aliongea sana kuaminisha umma kuwa ana jali na hana ubaguzi. Kiukweli nilikuwa namkata huku roho yangu inaumia. But nashukuru Mungu amemfunua ameonekana alivyo 100% na nimejikuta namchukia sana sana sana! Sina sababu nyingine ila zaidi ya matendo mabaya sana yaliyotokea ndani ya utawala wake wa miaka 5.
This time my friend, ninavyomchukia kutokana na chuki zake za waziwazi basi hata mabango yake nikiyaona nayachana chana achilia mbali kumchinjilia mbali huku namkodolea macho kodooo kwenye sanduku la kura. Yani tuombe uzima maana ndani ya box la kura hata matusi nitayatoa kwa sauti!
Kumbuka wale wateja wao,yaani sisi watazamaji tupo hatuna chama,wapo CCM,wapo CDM.Ndo maana na wao wapo neutral. Wao watupe habari tu.Lakini pia Victoire media yangu utaniamulia kuwa neutral na wakati sio ya umma ni yangu binafsi??
Mfano Azam akiamua anaisapoti CCM hatupaswi kulalamika hata kidogo.... ni media binafsi na yupo huru kutangaza akitacho.
Hapana ukisema jibu lipo wazi unakosea tena saana.Jibu lipo wazi. Sababu kubwa ni wanaogopa Magufuli.