Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Tlaatlaah na jua upo busy na kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya chama kupitia CCM.Umemlist Titantilah kumbe ni haki yako kushenyentwa na Kanjibai
Matreni me siachi mpaka siku atakaponipa mtaji wa hizo odds 4,3,2Hapana mkuu Wenye stake kubwa wanafaidi sanaaa odd 4 ,3,2 weka mzigo ,cha msingi ni kuepuka Tamaa ya kuweka matreni ndicho kinachotuponza
👊Sawa mkuu ila inategemeana na maternity unayoweka kama ni kuanzia odd 700 basi safari ya kupata mtaji ni ndefu sanaaMatreni me siachi mpaka siku atakaponipa mtaji wa hizo odds 4,3,2
Mkuu siku ya bahati yako ikifika hata kama umeweka odd million unashinda kikubwa ni machaguo tu👊Sawa mkuu ila inategemeana na maternity unayoweka kama ni kuanzia odd 700 basi safari ya kupata mtaji ni ndefu sanaa
Sawa mkuu lakini roho inakuwa juu juu sanaaaMkuu siku ya bahati yako ikifika hata kama umeweka odd million unashinda kikubwa ni machaguo tu
😂😂😂 nikikabwa na shida naweka zangu jero nategemea mamilion, sielewi wanaosema betting ni starehe mimi nabet nikiwa nashida ya pesa na sina p kupata🤣🤣🤣🤣Mimi kubet mwisho 1000 mara nyingi huwa naweka matreni
Ukiweka stake kubwa ila mimi huwa nachagua timu za week mbili naweka tren langu kwa jero mwisho buku naendelea na shughuli nyingine za utafutaji.Sawa mkuu lakini roho inakuwa juu juu sanaaa
Lazima uwe na limit kwenye ku-stake😂😂😂 nikikabwa na shida naweka zangu jero nategemea mamilion, sielewi wanaosema betting ni starehe mimi nabet nikiwa nashida ya pesa na sina p kupata🤣🤣🤣🤣
Unaliwa umesimama ...kubabeki....anza kuliwa umechuchumaaa huku umeshika tama labda utafanikiwa mkuu...Nikajua nikiblock betpawa na sportybet nitakua nimepumua lakini wapi sahizi nacheza had ofisi za premierbet naliwa huku nimesimama
💪💪💪tukutane AugostUkiweka stake kubwa ila mimi huwa nachagua timu za week mbili naweka tren langu kwa jero mwisho buku naendelea na shughuli nyingine za utafutaji.
Kama unafikiri ni mchache just try.Miaka 6 tu ,muda utaongea
Kanji achagui wala abagui.Kanji anakupuna tu ata ukitia stake ya shilingi 20
kuacha kamari ni ngumu labda upumzike tu kwa mda.
Miaka 6 ni michache kama unakitu cha kukuweka busy ila inategemeana na umekuwa addicted na betting kwa kiasi ganiKama unafikiri ni mchache just try.
Ina maana wote wanao bet hawana kitu kingine cha kufanya? Hamna cha kuwa addicted to what extent, issue hapa na uamuzi wako binafsi kwenye jambo husikaMiaka 6 ni michache kama unakitu cha kukuweka busy ila inategemeana na umekuwa addicted na betting kwa kiasi gani
Wengine wanakuwa na muda mwingi wa kubeti kuliko kufanya ishu zingine mfano mtu anayefanya biashara ya kuuza DukaIna maana wote wanao bet hawana kitu kingine cha kufanya? Hamna cha kuwa addicted to what extent, issue hapa na uamuzi wako binafsi kwenye jambo husika