Pole sana mkuuMoja tu? mwenzio nililambwa $45k kwnye crypto nikalia weee na sikukoma last week wamelamba tena $6800 nikajiseme me msenge sana, nimeibiwa mwaka jana tena nikarudi mwaka huu ila nikajipa moyo eti ndogo zamu hii maisha yanaendelea 😎😎
Ndo mapambano mkuu, tunapumzika tukiingia futi sita chini!Pole sana mkuu
Dah kweli mkuuNdo mapambano mkuu, tunapumzika tukiingia futi sita chini!
Senge we.JIUNGE NA SPINBET NIKUPE MTAJI WA KUANZIA BURE 📌
Kujiunga bofya👉Please Wait...
PROMO CODE 👉 KASONGO
Jiunge na SPINBET kuweka na kutoa kwa mitandao ya simu💯
NB: MTAJI WA KUANZIA NAKUPA MIMI ,MASHARTI WEKA PROMO CODE KASONGO KISHA KAMILISHA USAJILI 📌
Njoo na screen shot inbox weka ID uwekewe mtaji.
Kupata App bofya👉Please Wait...
Hi!Moja tu? mwenzio nililambwa $45k kwnye crypto nikalia weee na sikukoma last week wamelamba tena $6800 nikajisemea me msenge sana, nimeibiwa mwaka jana tena nikarudi mwaka huu ila nikajipa moyo eti ndogo zamu hii maisha yanaendelea 😎😎
Katika kosa kubwa tulofanya watu nikujaribu kurekebisha makosa au kujaribu kutafuta kilichopotea. 🤣 kubali umepotezs na umekosea 🤣Moja tu? mwenzio nililambwa $45k kwnye crypto nikalia weee na sikukoma last week wamelamba tena $6800 nikajisemea me msenge sana, nimeibiwa mwaka jana tena nikarudi mwaka huu ila nikajipa moyo eti ndogo zamu hii maisha yanaendelea 😎😎
Hata ingekuwa fixed asingelipwa , kampuni za betting hazilipagi fixed game hata siku mojaNahisi atakua aliuziwa mechi akaambiwa ziko fixed😆 huwezi weka draw game 3 afu utie milioni.
Acha kufananisha forex na betting budahKamali ni mungu katili sana
Betting na Forex ina hitaji mtu mbishi , asiye na tamaa na mwenye uwezo wa kujicontrol.
Jambo ambalo nimejifunza kwenye forex na betting ni lazima uwe na ivitu.
1. Skill
2.stratergy
3.Technique
Betting is a skillfull game na kama kuna bahati n 10% tu .
Sifa uvumilivu.
Chukua hii : Betting na forex sio ya kila mtu
Forex ina tofaut gani na aviatorAcha kufananisha forex na betting budah
Acha nikuache simp,,,naomba namba ya shemeji nimsalimie🤗Forex ina tofaut gani na aviator