Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Bet what you can afford to loseBetting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Ataliwa tenaDah laki 8 kwa siku 3. Mshahara wa mtu huo.
Anyway.
Hapo ni mambo mawili.
1. Komaa na njia rasm kutafuta hizo hela zaidi.
2. Bet kistaarabu
2. Bet kistaarabu
Tafuta odds zako 2-5 weka laki. Then Utulie
Mnabeti kiushabiki siyo kiakili ...kama una beti pesa nyingi betia live game tena ikiwa imesha fika dakika ya 20 ukiwa una usomq mchezo ndiyo tia mpunga hata sh elfu 50000Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Ukiona limekatazwa kwa wenye chini ya miaka π maana yake ilo jambo linatakiwa AKILI KUBWA tatizo linakuja kwa Watu wanaokua umri tu siyo AKILI (kubwa jinga)... π maana yake TUMIA AKILI SANASiku zote Ukiona kitu au jambo linatahadharisha kuwa hairuhusiwi kwa watu wenye umri chini ya miaka π.
Maana yake hilo jambo halifai hata ungekuwa na miaka 45..
Wanataka maamuzi uyafanye ukiwa na akili timamu na iliyokomaa ili msije mkalaumiana baadae. Do it for ur own risk.
Ukitaja makaa ya mawe akilini mwangu inanijia picha ya Samia na Rostam Aziz ππBetting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Sasa sii bora wewe unapoteza hela umisaka hela....sie tunaozika hela kwenye mbususu za warembo tusemeje? Yaani imagine unabembeleza mtu kuja kula hela yakoπ€£π€£π€£π€£π€£Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu
Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Mechi nyingine zimepangwa maususi kuchana mikeka ili mabeberu na timu zipate mabilioni ...huu ni ukwelimikeka inayochanwa na timu moja moja ni maumivu city,benfica weka atlanta kenge sanaa hawa
Mziya afghanistan upo kitaa kipi? Mie nipo hapa heratUkitaja makaa ya mawe akilini mwangu inanijia picha ya Samia na Rostam Aziz ππ
Kwa post hii nimepata kitu .Siku zote Ukiona kitu au jambo linatahadharisha kuwa hairuhusiwi kwa watu wenye umri chini ya miaka π.
Maana yake hilo jambo halifai hata ungekuwa na miaka 45..
Wanataka maamuzi uyafanye ukiwa na akili timamu na iliyokomaa ili msije mkalaumiana baadae. Do it for ur own risk.
Aise hatari ila sasa nyie nawe atalanta mechi za preseason za mwisho zote kapigwa unampaje ushindimikeka inayochanwa na timu moja moja ni maumivu city,benfica weka atlanta kenge sanaa hawa