Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Siku zote Ukiona kitu au jambo linatahadharisha kuwa hairuhusiwi kwa watu wenye umri chini ya miaka 🔞.

Maana yake hilo jambo halifai hata ungekuwa na miaka 45..

Wanataka maamuzi uyafanye ukiwa na akili timamu na iliyokomaa ili msije mkalaumiana baadae. Do it for ur own risk.
Aisee kweli kabisa ...nimepata cha kuwajibu warembo wanaolalamika kuhusu sie kuwala mbususu na kusepa
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Pole sana mkuu. Shit happens...learn from it and resolve to turn your life arround.
achana na betting,learn real life skills zitakazokuingizia mpunga in the long run. Find strategic partners....moreover,find a business mentor.
All will be well brother.
 
Betting ni sawa na kutokubali hasara kwenye biashara fulani

Be like:NGOJA NIFANYE HII KAMA SIFANYI TENA KUDADEKI
 
Aisee kandahar hapo kwenye mataliban wenyewe...duh hatari mzeya uliponaje milipuko ya huko?
Kwakweli ni Mungu tu mwenyewe maana nilifika mpaka sangin,korongal valley kote huko na nikatoka salama bila hata mchubuko
 
We yeroo ya town unaweka laki 2 unachagua game 7 ili upate milioni 40? Weka game zako 2 au tatu zenye uhakika ili usipigwe kizembe! Mfano jana Man utd japo ni chama langu niliwapa magoli chini ya mawili na imetoboa fresh tu! Usiweke kwa tamaa
Hakuna game zenye uhakika hebu acha kudanganya watu, ingekuwa hivo makampuni ya kubeti yangefungwa.
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Ulishawahi kusikia ama kuona mtu yyete ametajirika kwa KUBETI? Kubeti ni kubahatisha. Wewe mtu mzima u aishi kwa kubahatisha???
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Siku zote kumbuka hili. Usifanye betting ili kulipia hasara ya jana. Au usifanye betting ili kutajirika kwa haraka. Kwa wiki, au mwezi, tenga kiasi unachoona ni sahihi. Kitumie, ukiliwa shukuru na subiri wiki au mwezi ujao. Pili, ''usitumie fedha zako'' kukukuza mtaji. Anza na kiasi kidogo, chagua zile betting rahisi zenye faida ndogo, ukuze mtaji taratibu.
 
Back
Top Bottom