Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Ilikuwa yako au umeipata kwenye kubet.

Mimi nilianza na 2000 nikapata 430,000 na nikatoa 400,000 nikaicheza Ile 30,000 nikapata1,200,000 nikatoa milioni nikacheza hiyo laki 2 mpaka sasandio nafanyia hivyo
 
Ila Mimi nacheza kitu inaitwa nguvu ya 100 mkeka mrefu naweka 100 wakinijua wataniua
 
Ilikuwa yako au umeipata kwenye kubet.

Mimi nilianza na 2000 nikapata 430,000 na nikatoa 400,000 nikaicheza Ile 30,000 nikapata1,200,000 nikatoa milioni nikacheza hiyo laki 2 mpaka sasandio nafanyia hivyo
Trick gan unatumia
 
Back
Top Bottom