Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Nina safari ndefu sana kimaisha kuitafuta pesa. Guts za kuweka laki mbili kwenye kubet naipatia wapi mbwa mimi¿!
 
Siku zote Ukiona kitu au jambo linatahadharisha kuwa hairuhusiwi kwa watu wenye umri chini ya miaka 🔞.

Maana yake hilo jambo halifai hata ungekuwa na miaka 45..

Wanataka maamuzi uyafanye ukiwa na akili timamu na iliyokomaa ili msije mkalaumiana baadae. Do it for ur own risk.
Cha msingi ni bet what you can afford to lose. Sio unabet alafu mtu anakuja kulialia😀😀
 
Cha msingi ni bet what you can afford to lose. Sio unabet alafu mtu anakuja kulialia😀😀
Ukiachana na maumivu ya kuchanika mkeka (loss) betting ina uraibu ambacho ndio kitu kibaya zaidi kwasababu kinaharibu mfumo wa kawaida wa ubongo kiasi kwamba unapoteza ule udhubutu focus au ile nia au ule muendelezo wa mambo ya msingi maishani mwako unakua unagairi gairi na kuairisha airisha mambo huku muda unazidi kwenda... Una-prefer zaidi shortcuts

Kiufupi unapoteza dira/muelekeo wa maisha.

Kwa kuzungumza hivi unaweza kudhani ni rahisi tu kuwa si naacha tu kubett kitu chochote ukishafikia level ya uraibu sugu kuacha ni ngumu sana ili kuacha kuna gharama kubwa mno.
 
Cheza hili Dubwana 🤣
IMG-20250818-WA0001(3).jpg
 
Why am seeing this right now
Mungu ni nini hiki unataka kunionesha kabla sijafanya haya maamuzi magumu
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world

Actually you are. Kula chuma hicho na kizungu chako cha kwetu Kigoma.
 
Back
Top Bottom