Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Rule number one
"Bet what you can afford to lose"
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Nani alikuambia umpe Man City?
 
Don't play dangerous game unless you're willing to lose....

Hyo ni ndogo sanaa mkuu......kama umestuka amka betting sio shamba la bibi
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Utakuwa unafanya machaguo (market) vibaya, na pengine unaweka mzigo mrefu. Nenda mdogo mdogo, ukipata faida ya sh. 20k hadi 30k kwa siku, inatosha
 
Ahsante
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Mbona mnavyovuna laki nane na themanini (yaani 880,000) ndani ya siku tatu hamsemi humu jamvini mnazitafuna kimya kimya??
 
Mnabeti kiushabiki siyo kiakili ...kama una beti pesa nyingi betia live game tena ikiwa imesha fika dakika ya 20 ukiwa una usomq mchezo ndiyo tia mpunga hata sh elfu 50000
Kwa maelezo yako jana ulimpa liverpool😀😀😀
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Ulipaswa u-bett low u- stake high.
Haiwezekani ukaunga mkeka wa team zaidi ya Tano ukategemea maajabu
 
Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
Mnaambiwa kabisa weka kiasi unachoweza kupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…