Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Ndio. Jackpot suchezi lakini na2eza kubet mikeka miwili au yote ikatiki au yote ikachanika au nikala mmoja na mwingine nikapoteza.
ulishawahi kulose 200K au zaidi kwa mpigo? kama ni hapana, wewe sio mcheza kamari.
kama ni ndio, ulifanyaje kuirudisha?
 
unaona sasa!

Kwahiyo hizo hazijawahi kupoteza?
 
ulishawahi kulose 200K au zaidi kwa mpigo? kama ni hapana, wewe sio mcheza kamari.
kama ni ndio, ulifanyaje kuirudisha?
Wewe hujielewi unajua kwahiyo mtu akipoteza pesa hiyo uliyotaja mfulilizo ndio mcheza kamari hivi kumbe umasikini unamfanya mtu anadata
 
Wewe hujielewi unajua kwahiyo mtu akipoteza pesa hiyo uliyotaja mfulilizo ndio mcheza kamari hivi kumbe umasikini unamfanya mtu anadata
hahah umasikini!
tena wewe na kutamba kwako nina uhakika hunizidi kipato, ujuaji mwingii!!
 
Upo sahihi kwa kiasi chake japo nilitegemea utaje makadirio ya hela ulioipoteza kwenye betting. Mimi kuna kipindi nilikua na pepo wa kupiga hela ndefu sijui na yule demu niliekua nae alikuwa na bahati sana maana nakumbuka kipindi kile Nimepiga hela ndefu karibu milioni tatu na kasoro kwa mtaji wa kuanza nao haufiki elfu 20. Ila nikaja kupigwa hela japo sio nyingi kama niliyopata faida, na hasara kubwa nilioipata kwa mpigo ni kwenye mechi ya world cup nilimewekea 150k Argentina ampigie Saudi Arabia ila kilichonikuta sina hamu.
Kuhusu kupoteza muda ni kweli maana nilikua nabeti mechi za siku moja tu nazifuatilia mpaka za saa sita zikiisha hapo bado za basketball za marekani.
 
Mimi nimeshawahi kuacha mika miwili nikarudi tena. Ila kipindi hicho nilikuwa na miaka 17 na pombe zenyewe ulanzi na komoni..
Bia nimeshawahi kuacha miaka miwili pia, pombe kali zote nimeziacha toka mwaka juzi.
Safari hii nina miezi miwili nimepumzika pombe zote.
 
Daah hongera mkuu.

Pombe nzuri ni ya kunywea nyumbani Tu na sio vinginevyo.

Badae huko nitaanzisha hiyo system.
 
Ha ha ha
 
 
Tatizo mmeifanya km ajira na sio burudani lazima mlie.!
 
Tujifunze kwenda mbali zaidi kwa kuongea vizuri na magolikipa wa ligi yetu.
Unamwambia aruhusu goli 1 tu sio mbaya.
 
Wiki iliyopita nimepoteza 300,000 kwenye aviator imeniuma sana, sina hamu mpaka leo 😂 😂 😂 yote kwa yote betting ni ujinga hata ukipata hela mara nyingi huwa zinarudi zilipotoka. Dawa ni kuachana na haya mambo dawa nyingine ni kuacha kufuatilia mpira kwa Mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…