Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Betting ni hatari kubwa kwa wakamaria
Betting ni kwa watu wabishi wasio na tamaa na wanao weza kuji control

Betting inasababisha msongo wa mawazo
Inasababisha upungufu wa nguvu za kiume
Ina athari kubwa kisaikolojia

Siwezi kumshauri mtu aanze kubet ingawaje mimi nabet na ninaona faida zaidi ya hasara
 
Betting ni hatari kubwa kwa wakamaria
Betting ni kwa watu wabishi wasio na tamaa na wanao weza kuji control

Betting inasababisha msongo wa mawazo
Inasababisha upungufu wa nguvu za kiume
Ina athari kubwa kisaikolojia

Siwezi kumshauri mtu aanze kubet ingawaje mimi nabet na ninaona faida zaidi ya hasara
Kiukweli watu wanakosea kudhani unaweza kuweka 400 ili upate milion 10.mimi binafsi nabet na kula elfu 10 au 30 ni kitu cha kawaida tu
 
Kweli betting ni haramu ni heri uraibu mwingine wowote ila sio betting/kamari, betting ni mufilisi janjaruka mapema.
Nimempiga muhindi tena

1722710935173.png
 
Hii ipo 50/50, wewe umelalia kwenye madhara tu kwakuwa betting imekutia hasara. Haya uliyoeleza mimi hayaingii akilini mwangu sababu betting imefanya niachieve mengi ambayo kwa pesa yangu pekee isingewezekana.

Hauna bahati tu mkuu
 
Nilikuwa addicted na kubet niliacha baada ya kuibiwa simu yangu kubwa nilikaa mda sina simu kubwa natumia kiswaswadu nikaacha kabisa kubet.
ni muda gani umepita hujabeti kabisa? Isijekuwa umepumzika tu
 
Unabet jero mpaka buku Ili ule million lazima upigwe,
nilibet jackpot mpaka nikakata tamaa, nimecheza virtuals na casino, nimebeti basketball nk. Mchezo niliobet kwa buku ili nipate milions of money ni jackpot tu! Nyingne zote ni mwendo wa odds 1.5, 2,3 Kwa stake kubwa kubwa, hapo nimepigwa sana tu
 
Pole sana mkuu japo betting ni mbaya ila kuna watu wanabeti Kwa akili sana mfano ni bwana TIPMASTER sijui kama unamjua huyu jamaa yeye odds zake hua n 1.7 Hadi 2.2 halafu anaweka Mzigo mrefu nimefatilia mwaka wa NNE sasa jamaa Yuko good sana.

Kuna muda aliwahi kusema kama unataka kubeti mwisho ni timu tatu, mara nyingi naonaga yeye anabeti timu 2 Tu akizidisha ndo hizo tatu. Anaamini ukizidisha hapo utakua unamtengenezea kanji Maisha...

Anyway kama utakua na muda tafuta "Mentor" ujifunze Forex... Kama utajua jinsi ya kufanya analysis ya soko vidola 10 Hadi 20 havikupigi chenga Kwa siku
 
Back
Top Bottom