prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Me hela yangu ni heri nikaichome UTT kuliko Kubet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikibaki Tsh0 Urudi hapa utoe ushuhuda.Sio lazima kutusua, ila walau ya supu haikosekani. Hapa nipo ninaweka mzigo mdogo mdogo katika Virtual ya BetPawa, nilianza na sh. 4000 ila hata saa moja haijaisha nishapata 20 na nadhani kwa leo inatosha
View attachment 3060656
umepiga mule mule ,yote uliyoyasema ni ukweliIla shetani ana ushawishi sana nilipoamua kuacha kubeti mikeka yangu ya mwisho nlikula yote...ila nikaamua kwa dhati kuachana nayo.
Wakamaria wapo hatarini kupata magonjwa ya shinikizo la damu,msongo wa mawazo,kisukari na hata kujiua.
Simshauri mtu kujifunza kubeti ni uraibu mbaya sana. Yaani inafika kipindi huwezi kupata usingizi usiku. Unabeti kuanzia ligi za america kusini na kaskazini Usiku mpk alfajiri. Ukimaliza unaamia ligi za Australia, newzealand na japan asubuhi, ukimaliza upo ligi za india,nepal,iran mchana..jioni unaamia za uarabuni,usiku upo ulaya.
Kamari inaharibu mahusiano yako ya kifamilia na kijamii,kiuchumi,kiiamani n.k
mkuu kwa kukukosoa ni kwamba, hakuna mtu aliemua kubeti akaweza kujicontrol, kujicontrol ni kuacha tuBetting ni hatari kubwa kwa wakamaria
Betting ni kwa watu wabishi wasio na tamaa na wanao weza kuji control
Betting inasababisha msongo wa mawazo
Inasababisha upungufu wa nguvu za kiume
Ina athari kubwa kisaikolojia
Siwezi kumshauri mtu aanze kubet ingawaje mimi nabet na ninaona faida zaidi ya hasara
Shida hizo timu hupewaga odds ndogo sana,unakuta hata ukiweka laki ukila unapata laki na kumi na mbili,faida elf12Tatzo unataka kuwa tajili kupitia betting. Wewe fanya betting kutafta pesa ya kula elfu 50 au 40. Chukua laki yako Mpe yanga mpe Man City mpe madrid Mpe simba utakosaje pesa sasa?
mimi nimbeti kwa kufukuzia faida ya 5,000 Tu kwa dau la 10,000 mikeka ya aina hiyo pia nimepoteza mingi tu!Kiukweli watu wanakosea kudhani unaweza kuweka 400 ili upate milion 10.mimi binafsi nabet na kula elfu 10 au 30 ni kitu cha kawaida tu
4 years mkuu sijawahi kubet since 2020.ni muda gani umepita hujabeti kabisa? Isijekuwa umepumzika tu
Wewe huwezi kuniambia kitu kuhusu betting imenipa pesa nyingi sana kidampa kama wewe huna Cha kunishauri ukiona umeshindwa wewe ujue huna bahati nenda kalime mzeeipo siku utaelewa tu. Endelea kujifunza
wakati napiga hela za betting nilikuwa naongea zaidi yako wewe, una muda gani kwenye beting? Leta CVHii ipo 50/50, wewe umelalia kwenye madhara tu kwakuwa betting imekutia hasara. Haya uliyoeleza mimi hayaingii akilini mwangu sababu betting imefanya niachieve mengi ambayo kwa pesa yangu pekee isingewezekana.
Hauna bahati tu mkuu
Uongo huo.Shida hizo timu hupewaga odds ndogo sana,unakuta hata ukiweka laki ukila unapata laki na kumi na mbili,faida elf12
Kwa hyo unafikiri madrid akicheza na kibonde anapewa point inafika hata 1.2,thubutuuuuu,wakati mwingine anapewa hadi 1.07,sasa hapo kuna nini?Uongo huo.
Yaani uzipe timu tatu zishinde Madrid, Mancity na Yanga halafu kwa ujumla ziwe na odds 1.12?
Kwa mahesabu ya betting hapo kwa ujumla wake hizo timu zote zikicheza na vibonde hukosi odds 1.5.
licha ya timu 2 sijui 3, mkeka wa timu 1 tu unachanika! Na vile vile unaweza ukaweka hata timu kumi odds 20 mkeka ukatiki!Pole sana mkuu japo betting ni mbaya ila kuna watu wanabeti Kwa akili sana mfano ni bwana TIPMASTER sijui kama unamjua huyu jamaa yeye odds zake hua n 1.7 Hadi 2.2 halafu anaweka Mzigo mrefu nimefatilia mwaka wa NNE sasa jamaa Yuko good sana.
Kuna muda aliwahi kusema kama unataka kubeti mwisho ni timu tatu, mara nyingi naonaga yeye anabeti timu 2 Tu akizidisha ndo hizo tatu.... Anaamini ukizidisha hapo utakua unamtengenezea kanji Maisha...
Anyway kama utakua na muda tafuta "Mentor" ujifunze Forex... Kama utajua jinsi ya kufanya analysis ya soko vidola 10 Hadi 20 havikupigi chenga Kwa siku
forex nayo naona ni kama betting tuPole sana mkuu japo betting ni mbaya ila kuna watu wanabeti Kwa akili sana mfano ni bwana TIPMASTER sijui kama unamjua huyu jamaa yeye odds zake hua n 1.7 Hadi 2.2 halafu anaweka Mzigo mrefu nimefatilia mwaka wa NNE sasa jamaa Yuko good sana.
Kuna muda aliwahi kusema kama unataka kubeti mwisho ni timu tatu, mara nyingi naonaga yeye anabeti timu 2 Tu akizidisha ndo hizo tatu.... Anaamini ukizidisha hapo utakua unamtengenezea kanji Maisha...
Anyway kama utakua na muda tafuta "Mentor" ujifunze Forex... Kama utajua jinsi ya kufanya analysis ya soko vidola 10 Hadi 20 havikupigi chenga Kwa siku