Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Namiliki nyumba yangu kupitia betting. Mtu akinishauri kuacha natamani nimng'ate sikio.
 
mkuu kwa kukukosoa ni kwamba, hakuna mtu aliemua kubeti akaweza kujicontrol, kujicontrol ni kuacha tu
Mkuu mimi naweza kuwa na balance ya 200k kwenye Betting ac yangu lakini nikakaa mwezi mzima sijabet kwasababu labda nipo busy au kila nikichunguali instinct zangu zinanikatalia

Huwa nina bet pale instinct zangu zinaponituma kwamba mazingira yote yanani favor

Simaanishi kwamba huwa potezi ila namaanisha ninaona faida zaidi ya hasara

Nina safari ndefu sana na betting hadi kufikia sasa
 
Sidhani kama kuna mtu anabeti/alibeti kunishinda mimi!

Betting ina addiction ile mbaya, ikikukumba siyo rahisi kucomoka!

Hongera nyingi kwa aliegundua hii michezo, alitumia akili kwelikweli! Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale!

Pia niwape pole wale mnaoamini kwamba ipo siku watatusua kwenye Betting, mnajidanganya, mtaambulia hasara kiuchumi na kiafya!

Namuona mtu mmoja anataka kusema ati "beti kwa starehe tu" "bet what you can afford to lose" pole sana.

Kadri unavyopoteza ndivyo unavyozidi kupambana ili uokoe ulichopoteza, aidha kwa kuongeza dau au odds. Wazee wa hizo kazi wananielewa

Kwasasa accounts zangu zote za kubetia nimeshazifunga japo kuna wakati nashawishika sana kufungua account mpya (addiction hiyo)najizuia.

Baadhi ya vitu vilivyofanya niamue kuachana na betting;

-Nilikuwa napoteza muda mwingi (hata wa kazi) kutengeneza mkeka (uchambuzi)

-Maumivu makali ya kihisia baada ya timu moja kunichania mkeka niliotumia muda mwingi kuutengeneza, (na hiyo timu iliyochana italaaniwa sana sana[emoji50]‍[emoji100])

-Niliona kabisa hapa nikiendelea hivi, presha na kisukari vile palee!

Hakuna wakati mgumu kama pale timu uliyoipa ushindi inafikia dakika ya 70',80' ubao unasoma 0-0, mapigo ya moyo yanaenda mbio, umekaa tu cha ajabu unatokwa jasho kama vile unapanda mlima!!

-Ilifika hatua nikawa napumzika kwa muda mchache sana, muda wa kulala mimi niko live, siyo kwamba nachati wala nini, ni nabetika!

Hata ukinitumia ujumbe WhatsApp usitegemee kujibiwa, ukipiga simu kama sio mtu ambae namheshimu sana jibu ni moja tu "nitakupigia badae kidogo, nipe dakika tano" mpaka pale tukio ninalofuatilia litakapokamilika (tabia mbovu sana hii)

Leo nimemsikia mtu anasema anatafuta mtaji aanze kubeti[emoji38][emoji38]
Kama hujawahi kubeti, wala usitake kujifunza.

Kweli betting ni haramu ni heri uraibu mwingine wowote ila sio betting/kamari, betting ni mufilisi janjaruka mapema.
Binafsi nabetj ila siwezi kutetea betting maana najua madhara yake. Kifupi ulichoandika ndo uhalisia.
 
Mkuu mimi naweza kuwa na balance ya 200k kwenye Betting ac yangu lakini nikakaa mwezi mzima sijabet kwasababu labda nipo busy au kila nikichunguali instinct zangu zinanikatalia

Huwa nina bet pale instinct zangu zinaponituma kwamba mazingira yote yanani favor

Simaanishi kwamba huwa potezi ila namaanisha ninaona faida zaidi ya hasara

Nina safari ndefu sana na betting hadi kufikia sasa
hongera, kuna sehemu nimekuquote pale juu
 
Binafsi nabetj ila siwezi kutetea betting maana najua madhara yake. Kifupi ulichoandika ndo uhalisia.
kabisa mkuu! Ni mchezo wa hovyo, naona wengi hawataki kuamini huu ukweli.
 
Pia uraibu wa maombi kwa wachungaji makanisani afadhali ya betting
 
kama betting ingekupa pesa nyingi ukaacha kubet hapo hoja yako ingekuwa na mashiko, lakini kama unaendelea kubeti, niamini mimi, hiyo pesa itarudi tu ni suala la muda! pesa uliyokula kwa zaidi ya miaka miwili inaweza kurudi kwao ndani ya mwezi mmoja! hii itunze kama kumbukumbu
Wewe hujielewi mzee swala la pesa kurudi wewe kama nani unaongea hivyo wewe ni mungu au unajua mijitu kama nyie mkopna mnapigwa mnafikiri na wengine tunapigwa kama nyie pole sana mzee tafuta kazi ufanye hii kazi huwezi nenda kalime
 
Jambo lolote ukilifnya kama ziada nalenyewe litakupa matokeo km ziada betting ni moja ya uwekezaji ambao unawatajirisha wachache huku wakiwa wamekaa najumbani mwao.Betting ni sawa na mkulima mdogo anavolima na muwekezaji mkubwa anayelima ni lini umewahi sikia mkulima holela anatoboa ?

Sasa unataka utumie elf5 kuzalisha milion 100 daily hiyo si bahati nasibu.
Ukistake 500 tegemea kupata 600 hadi 700,ukistake elf10 tafuta odds 1.25 had 1.35 upate 12500 had 13500....
Maskini hatuiwez kaz yyt ya kiuwekezaji sabb hatukubali idea ya kuanza kidogo kulingn n kile tulichonacho tunataka kuishi kwa miujiza kila tulifanyalo.

Mwisho wa siku bett what you can afford to loose.
BETTING NDIO SEHEM INANIPA HELA ZA VOCHA KILAINI KULIKO KAZI YOYOTE.
 
Jambo lolote ukilifnya kama ziada nalenyewe litakupa matokeo km ziada betting ni moja ya uwekezaji ambao unawatajirisha wachache huku wakiwa wamekaa najumbani mwao...betting ni sawa na mkulima mdogo anavolima na muwekezaji mkubwa anayelima ni lini umewahi sikia mkulima holela anatoboa ??
Sasa unataka utumie elf5 kuzalisha milion 100 daily hiyo si bahati nasibu.
Ukistake 500 tegemea kupata 600 hadi 700,ukistake elf10 tafuta odds 1.25 had 1.35 upate 12500 had 13500....
Maskini hatuiwez kaz yyt ya kiuwekezaji sabb hatukubali idea ya kuanza kidogo kulingn n kile tulichonacho tunatak kuish kwa miujiza kila tulifanyalo
Mwisho wa siku bett what you can afford to loose.
BETTING NDIO SEHEM INANIPA HELA ZA VOCHA KILAINI KULIKO KAZI YOYOTE.
Mwambie huyo aelewe kazi kaishindwa yeye wenzie tunaiweza
 
Wewe hujielewi mzee swala la pesa kurudi wewe kama nani unaongea hivyo wewe ni mungu au unajua mijitu kama nyie mkopna mnapigwa mnafikiri na wengine tunapigwa kama nyie pole sana mzee tafuta kazi ufanye hii kazi huwezi nenda kalime
inaonyesha wewe kwenye betting ni mchanga sana ipo siku utaelewa, nimekuquote pale juu ili nione uwezo wako
 
Jambo lolote ukilifnya kama ziada nalenyewe litakupa matokeo km ziada betting ni moja ya uwekezaji ambao unawatajirisha wachache huku wakiwa wamekaa najumbani mwao...betting ni sawa na mkulima mdogo anavolima na muwekezaji mkubwa anayelima ni lini umewahi sikia mkulima holela anatoboa ??
Sasa unataka utumie elf5 kuzalisha milion 100 daily hiyo si bahati nasibu.
Ukistake 500 tegemea kupata 600 hadi 700,ukistake elf10 tafuta odds 1.25 had 1.35 upate 12500 had 13500....
Maskini hatuiwez kaz yyt ya kiuwekezaji sabb hatukubali idea ya kuanza kidogo kulingn n kile tulichonacho tunatak kuish kwa miujiza kila tulifanyalo
Mwisho wa siku bett what you can afford to loose.
BETTING NDIO SEHEM INANIPA HELA ZA VOCHA KILAINI KULIKO KAZI YOYOTE.
wewe ni muongo! Unataka kusema odds ndogo ndogo ndo hazilose?
Unajua unachokisema au unaongea tu kwasabu watu husema
 
Back
Top Bottom