Kiukweli watu wanakosea kudhani unaweza kuweka 400 ili upate milion 10.mimi binafsi nabet na kula elfu 10 au 30 ni kitu cha kawaida tuBetting ni hatari kubwa kwa wakamaria
Betting ni kwa watu wabishi wasio na tamaa na wanao weza kuji control
Betting inasababisha msongo wa mawazo
Inasababisha upungufu wa nguvu za kiume
Ina athari kubwa kisaikolojia
Siwezi kumshauri mtu aanze kubet ingawaje mimi nabet na ninaona faida zaidi ya hasara
Nimempiga muhindi tenaKweli betting ni haramu ni heri uraibu mwingine wowote ila sio betting/kamari, betting ni mufilisi janjaruka mapema.
Kampuni gani hiyo
A wewe hapa unasema unabet?Sio lazima kutusua, ila walau ya supu haikosekani. Hapa nipo ninaweka mzigo mdogo mdogo katika Virtual ya BetPawa, nilianza na sh. 4000 ila hata saa moja haijaisha nishapata 20 na nadhani kwa leo inatosha
View attachment 3060656
BikosportsKampuni gani hiyo
Ulitaka niweke laki? 😂N
A wewe hapa unasema unabet?
Kindege kinapeperuka hata kabla ya kuruka ili mradi tu mliwe marubani wote.Kuna Marubani wa AVIATOR... humu? Wale ndio wanaujua uchungu wa betting
Ule mchezo sijawahi kuthubutu kabisa kuucheza. Ni wizi wa waziwazi. Toka jamaa yangu apigwe mil.2.3 kama masihara nikajua ule sio mchezoKuna Marubani wa AVIATOR... humu? Wale ndio wanaujua uchungu wa betting
nilibet jackpot mpaka nikakata tamaa, nimecheza virtuals na casino, nimebeti basketball nk. Mchezo niliobet kwa buku ili nipate milions of money ni jackpot tu! Nyingne zote ni mwendo wa odds 1.5, 2,3 Kwa stake kubwa kubwa, hapo nimepigwa sana tuUnabet jero mpaka buku Ili ule million lazima upigwe,