Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Betting Haina mchanga Wala mzoefu ni akili Yako tu na pesa Yako acha habari zako mtu anaweza akabeti Leo na akapata hela ambayo wewe hujawahi kuipata
wala sikatai hiyo ndiyo bahati nasibu, lakini pia hiyo hela usishangae mwisho wa siku ikarudi yote!
 
Betting Haina mchanga Wala mzoefu ni akili Yako tu na pesa Yako acha habari zako mtu anaweza akabeti Leo na akapata hela ambayo wewe hujawahi kuipata
na kwa imani hii hii utajikuta umeshapoteza pesa ambayo itakuchukua muda sana kuipata tena
 
Kama betting imekutia hasara ni wewe,kama umeamua kuacha acha kimya kimya sio kuanza kulumbana kutupigia kelele
 
na kwa imani hii hii utajikuta umeshapoteza pesa ambayo itakuchukua muda sana kuipata tena
Labda wewe wenzio mbona tunapiga pesa sana sijui unafeli wapi au utakua huna nyota mzee nenda kalime ukiona unapata hasara Mimi sipati hasara Bali napata faida sana
 
Kukuaaaaaa uende wapiiiii??
Dhambi sio bangii dhambi tunayoifwataa bangi

Pombe sio dhambi..

Wanayoifwata pombe

Njonikupe jackpot ule mil 300 kwa 100

Tzs

Kupatakichekeshokamahiki andika pdidy kweenda 551775
 
Kama betting imekutia hasara ni wewe,kama umeamua kuacha acha kimya kimya sio kuanza kulumbana kutupigia kelele
hahah
Mimi kama mkongwe wa kazi hiyo ambaye sasa nimeamua kustaafu,
Nimeandika hapa kuwasanua wale ambao labda ndo wanauanza mchezo huu, ambao hawajazama sana wajaribu kubadili mitazamo yao wala si kwa nia mbaya mkuu.
 
Kukuaaaaaa uende wapiiiii??
Dhambi sio bangii dhambi tunayoifwataa bangi

Pombe sio dhambi..

Wanayoifwata pombe

Njonikupe jackpot ule mil 300 kwa 100

Tzs

Kupatakichekeshokamahiki andika pdidy kweenda 551775
ni kichekesho kweli
 
Ni kwel mkuu lkn kosa lako ni kwamba ulikua na mararajio ya kutajirika kupitia betting..

Me binafsi na bet ila kistarabu na sibet kila siku, huwa na bet weekend tu. kuanzia ijumaa mpk jpili basi.

Na pia huwa na bet 3000 tu kwa mkeka mmoja siwezi zidi hapo.

Ushauri, kama una bet bet kistarabu , na usiifanye betting ajira au chanzo kutajirika, bet kile na uwezo nacho na usije bet buku kutegemea kula milion utaliwa mpaka upate kisukari. Kama una bet buku tegemea kupata 20k au 10k basi. Usiforce buku kula 500k unapoteza muda wako ni bahati sana.

Kingine ukisha bet usofatile matokeo kama mtoa mada utakufa na presha, ww bet buku lako subiri sms ya ushindi basi isipokuja sms jua umeliwa mpaka kesho tena.

Binafs huwa na bet nakula sana hizi 40k au 50k kwa kuweka 3000 na pia huwa napoteza, hela ya betting haipo ktk majesabu yangu kabisa.

Mfano kipindi hiki nimestop mpaka ligi zianze ndo ta bet tena.
 
Ivi nini maana ya kamali? Au beting?
Mfano unazijua timu 13, then wewe ukajua kuwa zitashinda na hio ni betting,

I believe kuna formula ya kuzichukua hizo pesa/ unatumia akili .. ten kama hayo ma jackport ya bilioni, kila mwez unayachukua fresh tu,achan na betting, tumia formula japo kuitengeneza ni kazi kubwa saaan.
 
Huwo ni uwongoooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ungekuwa unaijua formula bila shaka ungekuwa bilionaire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…