Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamuziki @beyonce Ameripotiwa Kuchangia dola milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.6/=) kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi huko Chocó, Colombia.
Fedha hizo zitatumika kusaidia watu walioathirika kupata chakula, vifaa vya kujengea na mahitaji ya makazi.
Tetemeko hilo lilikuwa kubwa sana, ambapo watu wasiopungua 312 walipoteza maisha, huku takribani nyumba 29,000 zikiharibiwa. Pia, karibu watu 69,000 waliathirika au kulazimika kuondoka katika makazi yao.
Tetemeko hilo lilitokea Agosti 10, 2026, katika eneo la Chocó, Colombia. Likiwaa na ukubwa wa Magnitude 7.4.