Hawa ndio wale wanasema Google is always right.. Kumbe kuna upuuzi mwingine unaandikwa sio kweliMtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dunia inaumwa
Sikulazimishi Kuamini Ndugu.Acha mambo ya kitoto ndugu usitake kupotosha watu na net zako hizo unazozirudia rudia kuzitaja taja hapa? Ni nani kakwaaminisha kuwa kila unachokiona internet huwa ni cha kweli?
provehakuna kitu kama hicho
swissme
Yote yawezekana kwenye Biblia
"Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze." - Luka 13:24 ( By Yesu).In short kanisa limebaki Afrika kusini mwa jangwa la sahara tu! Kungine kote hakuna ukristo asilia
umeacha ushirikina?!Hapana Mungu ninayemwamini na kumtumikia anatosha sitaki ziada
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ngoja kwanza nikale mihongo yangu isije ikachacha!
hizi simu zimekua nyingi huko mitaan na vijana wanapenda kukurupuka kuwa wa kwanza kupostHawa ndio wale wanasema Google is always right.. Kumbe kuna upuuzi mwingine unaandikwa sio kweli
Alafu amecopy kwa kijana mmoja anaitwa Godlisten Malisa.. Jamaa ndio kakamata namba ya Nyerere kule Facebook.. Anawadanganya watoto wa watu mpaka unaona huruma... Alafu dhana ndio hiyohiyo awe wa kwanza na aonekane anajua kila kituhizi simu zimekua nyingi huko mitaan na vijana wanapenda kukurupuka kuwa wa kwanza kupost
"This isn't the first time that someone has praised Beyonce in suh a heavy way"
Alafu amecopy kwa kijana mmoja anaitwa Godlisten Malisa.. Jamaa ndio kakamata namba ya Nyerere kule Facebook.. Anawadanganya watoto wa watu mpaka unaona huruma... Alafu dhana ndio hiyohiyo awe wa kwanza na aonekane anajua kila kitu
ndio maana mimi nasema hakuna kitu kinaitwa mungu. Mwenye masikio asikie kile nasema. Mnapoteza muda kusubiri kuishi maisha baada ya kifo. Wenzenu wanafanya yaoUmewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?
Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national church of Bey" means church of Beyonce.
Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother Bey"
Katika kànisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na Vazi la yesu, na nyingine akiwa na vazi LA papa wa dhehebu LA RC.
Amekuwa akiitwa Mungu wa kike.. Na dini yake inaitwa "Beyism" ambapo pia wanatumia biblia yao inayoitwa Beyble, inamzungumzia Beyonce kama mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumuita Goddess..
Dini hiyo ya Beyism ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa Mungu huyo Beyonce, watu maarufu kama Kanye west, Mariah carrey na wengine.
Tazama baadhi ya picha hzo
View attachment 333107
View attachment 333108
View attachment 333109
View attachment 333110
View attachment 333111