Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Mtoa mada ana mawazo ya kushangaza sana nimeona niachane naye sidhani kama anamuelewa beyonce au anaielewa vyema google..
Hawa ndio wale wanasema Google is always right.. Kumbe kuna upuuzi mwingine unaandikwa sio kweli
 
hizi simu zimekua nyingi huko mitaan na vijana wanapenda kukurupuka kuwa wa kwanza kupost

"This isn't the first time that someone has praised Beyonce in suh a heavy way"
Alafu amecopy kwa kijana mmoja anaitwa Godlisten Malisa.. Jamaa ndio kakamata namba ya Nyerere kule Facebook.. Anawadanganya watoto wa watu mpaka unaona huruma... Alafu dhana ndio hiyohiyo awe wa kwanza na aonekane anajua kila kitu
 
Mimi Sielewi Kila Anayesema Habari Hii Ya Uongo Hakuna Anayekuja Na Sababu Ya Msingi Zaid Ya Matusi Na Maneno Mengine Kama Hayo.

Mbona Tanzania Wengi Wanajiita Manabii Nje Ya Hapo Mmeshuhudia Ushoga Ukipigiwa Chepuo Sasa Sielewi Ambacho Mnakataa Ni Kipi Hapa?,

Ebu Aje Mtu Na Sababu Ya Kupinga Na Si Matusi.
 
ni muda unaosumbua kwa ninyi wa muda huu. hata ya muda ule ambayo mnashobokea muda huu, yalipingwa na babu zenu wa muda ule.
NI MUDA WA KUTAFAKARI KWA KILE UNACHOKIONA KAMA HAKIGUSIKI WALA KUHOJIWA, JE, HAKIJABEYONSIWA NA MABEYONCE WA MUDA ULE?
Soon National Church of Bey itakuwa International C of B=ICB
 
Alafu amecopy kwa kijana mmoja anaitwa Godlisten Malisa.. Jamaa ndio kakamata namba ya Nyerere kule Facebook.. Anawadanganya watoto wa watu mpaka unaona huruma... Alafu dhana ndio hiyohiyo awe wa kwanza na aonekane anajua kila kitu

Malisa aliwahi kua Rais wa St Agustine miaka michache iliyopita mwandishi na mwanasiasa pia hiyo ndio hasara ya kuchanganya uandishi na siasa...
 
Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan

Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
 
Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?

Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national church of Bey" means church of Beyonce.
Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother Bey"

Katika kànisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na Vazi la yesu, na nyingine akiwa na vazi LA papa wa dhehebu LA RC.

Amekuwa akiitwa Mungu wa kike.. Na dini yake inaitwa "Beyism" ambapo pia wanatumia biblia yao inayoitwa Beyble, inamzungumzia Beyonce kama mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumuita Goddess..

Dini hiyo ya Beyism ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa Mungu huyo Beyonce, watu maarufu kama Kanye west, Mariah carrey na wengine.

Tazama baadhi ya picha hzo
View attachment 333107
View attachment 333108
View attachment 333109
View attachment 333110
View attachment 333111
ndio maana mimi nasema hakuna kitu kinaitwa mungu. Mwenye masikio asikie kile nasema. Mnapoteza muda kusubiri kuishi maisha baada ya kifo. Wenzenu wanafanya yao
 
Back
Top Bottom