Beyonce, kumbuka umezaliwa na watu kama wewe na hii dunia umeikuta

Labda ba yeye anataka apige pesa kupitia dini kama kina wenzake maana mziki ushaanza kumuacha.
 
Kwahiyo siku hizi akitaka gegedo anafanyaje??
 
Beysm
FB_IMG_1526921823389.jpg
FB_IMG_1526921805544.jpg
FB_IMG_1526936633143.jpg
FB_IMG_1526921812606.jpg
 
Angekuwa mbunifu japo kidogo kuja na mambo yake mwenyewe....Ila bado anategemea mambo ya dini nyingine kujenga dini yake.

Mfano nimeona hapo kashika mabango ambayo nayafananisha na yale aliyeshika Musa yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu.

Kitabu Chake anachokitumia Kinaitwa Beyble- ametohoa toka Bible ya wakristo.

Anatumia jengo na kuliita kanisa- Kanisa hutumika na wakristo.

Hivyo mpaka hapo hakuna dini mpya..ni michezo tu.
 
Si bora umfate beyonce kuliko kumuamini Nabii muongo anayechinja watu huku akiwadanganya waumini Mungu kamtuma aeneze dini yake.
 
Angekuwa mbunifu japo kidogo kuja na mambo yake mwenyewe....Ila bado anategemea mambo ya dini nyingine kujenga dini yake.

Mfano nimeona hapo kashika mabango ambayo nayafananisha na yale aliyeshika Musa yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu.

Kitabu Chake anachokitumia Kinaitwa Beyble- ametohoa toka Bible ya wakristo.

Anatumia jengo na kuliita kanisa- Kanisa hutumika na wakristo.

Hivyo mpaka hapo hakuna dini mpya..ni michezo tu.
Sasa hivyo si ndiyo inakuwa rahisi watu kumuelewa na kupata waumini kwa haraka.
 
Back
Top Bottom