Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hata akifa hatokuwa wa kwanza,wataendelea kuabudu tu labda hicho kifo kitakuwa kina malengo.Beyonce akifa leo kwa mfano hao wafuasi wake watamuabudu nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akifa hatokuwa wa kwanza,wataendelea kuabudu tu labda hicho kifo kitakuwa kina malengo.Beyonce akifa leo kwa mfano hao wafuasi wake watamuabudu nani?
Kiukweli hizi ni zama za mwisho..View attachment 782160
Sasa hivyo si ndiyo inakuwa rahisi watu kumuelewa na kupata waumini kwa haraka.Angekuwa mbunifu japo kidogo kuja na mambo yake mwenyewe....Ila bado anategemea mambo ya dini nyingine kujenga dini yake.
Mfano nimeona hapo kashika mabango ambayo nayafananisha na yale aliyeshika Musa yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu.
Kitabu Chake anachokitumia Kinaitwa Beyble- ametohoa toka Bible ya wakristo.
Anatumia jengo na kuliita kanisa- Kanisa hutumika na wakristo.
Hivyo mpaka hapo hakuna dini mpya..ni michezo tu.