Beyonce na Jay z wanatarajia watoto mapacha

Kuna matumbo mengine kituko,tumbo jeusiiiiii,usoni mweupeee mpaka unajiuliza kwani lazima mtu kupiga picha ya hivyo jaman
Siku hizi imekuwa ni fashion ya kuonyesha tumbo wakati mimba imekuwa kubwa tangu alipofungua milango ya kufanya hivyo Demi Moore. Zile picha za tumbo la ujauzito miezi nane/tisa ni bomba sana.
 
Mdau mi najuaga ww ni mtu wa siasa za mlengo wa kushoto (ngumu) sikuwahi kudhani kama pia upo kwenye issue laini laini kama hizi.......!! all in all tupo pamoja
 
Beyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha

Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake

Hapo akili ni nini? Kuwa na mapacha au?
 
Basi hujatembea humu ndani vinginevyo usingeshangaa na hii post yangu.

Mdau mi najuaga ww ni mtu wa siasa za mlengo wa kushoto (ngumu) sikuwahi kudhani kama pia upo kwenye issue laini laini kama hizi.......!! all in all tupo pamoja
 
Kazi ya Mungu haina makosa. Tumbo kuwa jeusi inaweza kuwa kituko kwa wengine lakini kwa wazazi husika wasione kama ni kituko cha aina yoyote ile.

Kuna matumbo mengine kituko,tumbo jeusiiiiii,usoni mweupeee mpaka unajiuliza kwani lazima mtu kupiga picha ya hivyo jaman
 
Mtu anajijua usoni anatumia mkorogo mkali bora akubali fasheni impite asifunue akawa kituko. Lakini akiwa mweusi mwili mzima picha inabalance na kuwa bomba.
Kazi ya Mungu haina makosa. Tumbo kuwa jeusi inaweza kuwa kituko kwa wengine lakini kwa wazazi husika wasione kama ni kituko cha aina yoyote ile.
 
Mtu anajijua usoni anatumia mkorogo mkali bora akubali fasheni impite asifunue akawa kituko. Lakini akiwa mweusi mwili mzima picha inabalance na kuwa bomba.
Unapokuwa mjamzito rangi ya tumbo kuwa tofauti na mwili ni kawaida sana, I think wanawake waliozaa watanielewa
 
Inatofautiana kati ya mtu na mtu. Wengine wakati wa ujauzito wanazidi kupendeza na wengine hali huwa tofauti na mimba moja inaweza kuwa tofauti na nyingine.

Aisee kumbe zari huwa anatudanganyaaa lazima nikamshtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…