Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimya wao ulikuwa mzuri sana....Pharel kapata watatu, halafu yeye na mkewe walipiga kimya kipindi chote cha ujauzito.
Siku hizi imekuwa ni fashion ya kuonyesha tumbo wakati mimba imekuwa kubwa tangu alipofungua milango ya kufanya hivyo Demi Moore. Zile picha za tumbo la ujauzito miezi nane/tisa ni bomba sana.
Kanatakiwa kaolewe kwanza halafu ndo mambo ya mimba yafuateHivi kaRihanna huwa ni kagumba, mbona sijawahi kusikia hata mimba ya kusingiziwa?
Looks like you are a family member or someone closer to blue, jay z and beyonce, how can you know all this about blue?
Mdau mi najuaga ww ni mtu wa siasa za mlengo wa kushoto (ngumu) sikuwahi kudhani kama pia upo kwenye issue laini laini kama hizi.......!! all in all tupo pamojaBeyoncé just made a major announcement!
View attachment 466332
Here it is: Beyoncé is pregnant … with twins!
The singer delivered the news on Instagram with a stunning photo of herself with her hands on her baby bump, kneeling in front of a wreath of flowers with a long green veil over her head.
“We would like to share our love and happiness. We have been blessed two times over,” she wrote. “We are incredibly grateful that our family will be growing by two, and we thank you for your well wishes.”
She signed the post, “The Carters.”
Beyoncé and her husband, Jay Z, currently have a 5-year-old daughter, Blue Ivy. Congrats to them both on pregnancy!
Hapo akili ni nini? Kuwa na mapacha au?Beyonce amepost kwenye account yake ya Instagram na kuthibitisha kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha
Huyu mwanamke ni wa mfano wa kuigwa i wish wasanii wa kibongo wangekuwa na akili kama za kwake
![]()
![]()
Mdau mi najuaga ww ni mtu wa siasa za mlengo wa kushoto (ngumu) sikuwahi kudhani kama pia upo kwenye issue laini laini kama hizi.......!! all in all tupo pamoja
Kuna matumbo mengine kituko,tumbo jeusiiiiii,usoni mweupeee mpaka unajiuliza kwani lazima mtu kupiga picha ya hivyo jaman
ha hahahaLooks like you are a family member or someone closer to blue, jay z and beyonce, how can you know all this about blue?
Kazi ya Mungu haina makosa. Tumbo kuwa jeusi inaweza kuwa kituko kwa wengine lakini kwa wazazi husika wasione kama ni kituko cha aina yoyote ile.
Kama hujanielewa c lazma kunijibuHapo akili ni nini? Kuwa na mapacha au?
Unapokuwa mjamzito rangi ya tumbo kuwa tofauti na mwili ni kawaida sana, I think wanawake waliozaa watanielewaMtu anajijua usoni anatumia mkorogo mkali bora akubali fasheni impite asifunue akawa kituko. Lakini akiwa mweusi mwili mzima picha inabalance na kuwa bomba.
Unapokuwa mjamzito rangi ya tumbo kuwa tofauti na mwili ni kawaida sana, I think wanawake waliozaa watanielewa