Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao.
Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia alipokwenda hospitali kujifungua ndipo huo mchezo ukafanyika na kufanikiwa kumwiba Blue Ivy ambapo mama yake asili anaitwa Tina Seal, ndiye aliyekwenda kuwashitaki wawili hawa wenye kumiliki makampuni na mapesa mengi lakini wanaonekana kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Mapenz matamu na ndoa pia ni tamu ila msipojaliwa kuwa na mtoto, ni kivumbi. Watu huwa wanahaha hadi kwa waganga kujitafutia watoto.
Tusikilizie kama watanyang'anywa mtoto Blue Ivy ama itakuwaje.