Beyonce na Jay Z washitakiwa kwa kuiba mtoto (Blue Ivy) na kujifanya ni wao

Beyonce na Jay Z washitakiwa kwa kuiba mtoto (Blue Ivy) na kujifanya ni wao

Ndo madhara ya kujiunga na wajenzi huru!
 
Mbona mtoto kafanana sana na baba yake?Huyo mama anatafuta kick kwa nguvu sana
 
watu wanatoka mapovu kabisa hapa..!
Hayanihusu, ujinga tu.
 
Mmmmhhhhhh weka chanzo cha habariii bana ila inawezekana hao waabudu shetan kweli watoe wapi mtoto
 
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao.

Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia alipokwenda hospitali kujifungua ndipo huo mchezo ukafanyika na kufanikiwa kumwiba Blue Ivy ambapo mama yake asili anaitwa Tina Seal, ndiye aliyekwenda kuwashitaki wawili hawa wenye kumiliki makampuni na mapesa mengi lakini wanaonekana kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Mapenz matamu na ndoa pia ni tamu ila msipojaliwa kuwa na mtoto, ni kivumbi. Watu huwa wanahaha hadi kwa waganga kujitafutia watoto.
Tusikilizie kama watanyang'anywa mtoto Blue Ivy ama itakuwaje.

Badala ya kuzungumzia EBOLA au mchakato wa KATIBA, unamdiscuss Jay Z!! anakujua? atakusaidia nini???
 
Badala ya kuzungumzia EBOLA au mchakato wa KATIBA, unamdiscuss Jay Z!! anakujua? atakusaidia nini???

hiyo katibatamgu umeidisscus imekusaidia nini?
 
Inamaana hii ilikuwa ni ya bandia?
Hapana.

check-pregnant-beyoncc3a9-shows-off-her-baby-bump-in-white-frilly-two-piece-2.jpg

mkuu c kila k2mbo kilichovimba ni mimba!
 
Back
Top Bottom