Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
alikua wapi siku zoote hizo
Alikua bado ajajiridhisha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikua wapi siku zoote hizo
umeona eeeh itakuwa kuna watu wamempandikiza
Alikua bado ajajiridhisha..
amuache Beyonce na ninavyompendaga
hebu weka kapicha mkuu tukupe majibu ya DNA eye test.
Hii chai haina sukari halafu majani mengi.....
Mbona naona yupo poa mtoto, hata wangu utasema nimemharibu, lol
Hawa ni waimbaji maarufu duniani walioana hivi karibuni (Beyonce born 1980, Jay Z born 1969). Age is nothing but a number kama wanavyodai wao.
Inadaiwa kuwa Beyonce alikuwa na ujauzito wa bandia alipokwenda hospitali kujifungua ndipo huo mchezo ukafanyika na kufanikiwa kumwiba Blue Ivy ambapo mama yake asili anaitwa Tina Seal, ndiye aliyekwenda kuwashitaki wawili hawa wenye kumiliki makampuni na mapesa mengi lakini wanaonekana kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Mapenz matamu na ndoa pia ni tamu ila msipojaliwa kuwa na mtoto, ni kivumbi. Watu huwa wanahaha hadi kwa waganga kujitafutia watoto.
Tusikilizie kama watanyang'anywa mtoto Blue Ivy ama itakuwaje.
kujiridhisha na nini?
Ila mbona jz kamharibu mtoto sura namna ile, manake genes hazidanganyi wajameni! Hajamchukua beyonce kabisaa!