Camera ya hotel ili record kila kitu .TMZ , fox news source Angalia video TMZ .Inakuwaje Mwanaume anapigwa namna hii .Beyonce ameuchuna utafikiri hamjui Jay Z alidundwa haswaa
Huyo Solange ni kichaa.
Huyu Solange kama Mwajuma Ndala ndefu!
Yah..natalia kuna wivu inaeleweka..lkn pia wanavyohandle mambo yao..hawawezi kukaa chini wakaongea na mwanaume au mwanamke kwa utulivu na busara...they like shouting, drama, eyeballing finger snaping na kuishia kupigana...sasa hivi wanaandamwa sana kwa hizo tabia...wanalalamika wapo single wengi ila watu wanawakimbia kwa sasabu hiyo..na unajua reason yao ni ile ile kuplay victims of raised by single mothers, no fathery figure in their life and all sort of excuses...lkn wanezudi sasa hivi...Black America so bitter I don't know why ?hata Michelle Obama nae wanasema ana wivu wa ajabu
Yaani kunasiku nlikua naendesha nika-block njia kidogo..dah hayo matusi yake na mahorn...nkasogeza gari bado kanifata ...so what..so what...na hasira nyingi dah nkabaki nashangaa tu na nlikuamgeni kidogo...ila sasanaanza kujua...aise nkasema hapa nkisetle mke nafata bongo..Wana drama uwiiiii.hawana class at all kitu kidogo tu Dah kinaweza kikawa balaaa
Angekuwa Chidi Benz, huyo Solange angetamani hiyo lift igeuke kuwa ambulance........
Marekani ukimpiga mwanamke you're in deep trouble hata kama yeye ndiye mchokozi. Kuna jamaa yangu Mbongo alikuwa akiishi Houston,TX na mwanamke mweusi wa kimarekani, siku moja yule mwanamke alimletea za kuleta jamaa hasira za Kikurya zikampanda akampa nakos za kutosha. Demu akapiga simu polisi jamaa akaja kubebwa msobe msobe. Kwenda mahakamani jamaa akala mvua mbili na baada ya kumaliza kifungo akarudishwa na FBI mpaka JKIA.
Jay sio kwamba alishindwa kumpiga Solange, he would've had a lot to lose kama ange-retaliate. Aliamua kuuchuna ili asije kupata kilichompata Chris Brown. Kitu cha ajabu ni reaction ya Bey, she was suppose to put her sister in check. Or did Jay say or do something to annoy Bey and her sister decided to attack him?
Solange?
Inakuwaje mwanaume anapigwa na mwanamke? Au walikuwa wanacheza?
They cant be serious