Marekani ukimpiga mwanamke you're in deep trouble hata kama yeye ndiye mchokozi. Kuna jamaa yangu Mbongo alikuwa akiishi Houston,TX na mwanamke mweusi wa kimarekani, siku moja yule mwanamke alimletea za kuleta jamaa hasira za Kikurya zikampanda akampa nakos za kutosha. Demu akapiga simu polisi jamaa akaja kubebwa msobe msobe. Kwenda mahakamani jamaa akala mvua mbili na baada ya kumaliza kifungo akarudishwa na FBI mpaka JKIA.
Jay sio kwamba alishindwa kumpiga Solange, he would've had a lot to lose kama ange-retaliate. Aliamua kuuchuna ili asije kupata kilichompata Chris Brown. Kitu cha ajabu ni reaction ya Bey, she was suppose to put her sister in check. Or did Jay say or do something to annoy Bey and her sister decided to attack him?