Beyonce's sister(Solange) attacks Jay Z in the elevator

Beyonce's sister(Solange) attacks Jay Z in the elevator

Camera ya hotel ili record kila kitu .TMZ , fox news source Angalia video TMZ .Inakuwaje Mwanaume anapigwa namna hii .Beyonce ameuchuna utafikiri hamjui Jay Z alidundwa haswaa

du wewe dada muongo! vile ndyo kupigwa haswaa au hujawah kupigwa haswaa
 
Huyo Solange ni kichaa.

According to Wendy Williams show 'Jay z alikuwa na MWANAMKE wake wazamani Kwenye party na Jay z anam pigaga beyonce na hata tattoo ya jay z beyonce kafuta .Unaambiwa Huyo solange usicheze na dada ake au family yake atakumaliza .
 
Jigga ametumia busara kuhandle hii issue, japo inauma kwa mwanaume kupigwa na demu
 
Black America so bitter I don't know why ?hata Michelle Obama nae wanasema ana wivu wa ajabu
Yah..natalia kuna wivu inaeleweka..lkn pia wanavyohandle mambo yao..hawawezi kukaa chini wakaongea na mwanaume au mwanamke kwa utulivu na busara...they like shouting, drama, eyeballing finger snaping na kuishia kupigana...sasa hivi wanaandamwa sana kwa hizo tabia...wanalalamika wapo single wengi ila watu wanawakimbia kwa sasabu hiyo..na unajua reason yao ni ile ile kuplay victims of raised by single mothers, no fathery figure in their life and all sort of excuses...lkn wanezudi sasa hivi...
 
Wana drama uwiiiii.hawana class at all kitu kidogo tu Dah kinaweza kikawa balaaa
Yaani kunasiku nlikua naendesha nika-block njia kidogo..dah hayo matusi yake na mahorn...nkasogeza gari bado kanifata ...so what..so what...na hasira nyingi dah nkabaki nashangaa tu na nlikuamgeni kidogo...ila sasanaanza kujua...aise nkasema hapa nkisetle mke nafata bongo..
 
Iwepo sheria kama mwanamke akipanda sana kiasi hicho, basi apigwe makofi mawili ya uso kwa ajili ya kumtuliza tu halafu mambo mengine yanaendelea.
 
Beyonce akilia chabo simu ya jigga kiaina! Inawezekana jay z ana cheat. ImageUploadedByJamiiForums1400000562.165030.jpg
 
Angekuwa Chidi Benz, huyo Solange angetamani hiyo lift igeuke kuwa ambulance........

Nimeipenda hii mwanaume hutakiwi kudharauliwa na mwanamke bana,nawasifu sana akina tata mura huyo angekuwa hana mikono sasa hivi.
 
Marekani ukimpiga mwanamke you're in deep trouble hata kama yeye ndiye mchokozi. Kuna jamaa yangu Mbongo alikuwa akiishi Houston,TX na mwanamke mweusi wa kimarekani, siku moja yule mwanamke alimletea za kuleta jamaa hasira za Kikurya zikampanda akampa nakos za kutosha. Demu akapiga simu polisi jamaa akaja kubebwa msobe msobe. Kwenda mahakamani jamaa akala mvua mbili na baada ya kumaliza kifungo akarudishwa na FBI mpaka JKIA.

Jay sio kwamba alishindwa kumpiga Solange, he would've had a lot to lose kama ange-retaliate. Aliamua kuuchuna ili asije kupata kilichompata Chris Brown. Kitu cha ajabu ni reaction ya Bey, she was suppose to put her sister in check. Or did Jay say or do something to annoy Bey and her sister decided to attack him?

Duh, chanzo cha ugomvi specifically?
 
27 yrs na 44 yrs c mtto kabxa wa jay z alfu anapgwa na demu kwel atakuwa aliomba kitamu
 
Ila media zimepeleka mbali sana hii kitu, na pia walirusha hiyo video mmmmmh
 
Hahah,yani the pics pipo r making na comments zenu znanivunja mbavu..lol
jaman hata wao wana matatizo,are they living in heaven? Naaah
 
Back
Top Bottom